Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini
wacha kupangia watu wenye hela zao wapi pa ku-invest era za mwendazake zimepita!
 
The greenery in Nairobi is on another level
download%20(14).jpg
download%20(15).jpg
download%20(16).jpg
 
Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini
Pangani ni Mji wa Utalii Kuna beaches Kali kama za Zenji kule.

Ukaweke Arusha na Mwanza pesa zitarudi vipi?
 
Back
Top Bottom