Let me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?Unawazimu wa kichwa nimekwambia chato ndio gateaway ya geita pamoja na tourism area ikiwemo rubondo and burigi π€£π€£π€£
Na hapa utasemaje πππ
View attachment 2576041
Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa π€£π€£π€£π€£π€£πππ
So haya niliongea ya uongo au πππππ
Enjoy bila makasiriko usifananishe chato airport na isiolo international white elephant π€£π€£π€£ππππLet me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?
nonsense......this thing for all that
Haya ndiio madhaifu munatakiwa kuyakubali mumepoteza pesa kujenga internationa airport ambayo sasa ni white elephant na bado imejengwa chini ha viwango ππππLet me leave you ujifurahishe. Wewe mwenyewe ulisema Air Tanzania flies to Chato mara tatu kwa wiki wakati hiyo picha umepost already kuna ndege tatu za Air Tanzania. Hizo ndege tatu za ATCL zinafanya nini hapo in a single day wakati you already confirmed they only fly there three times a week? Unafikiri watu wote humu ndani ni vilaza kama wewe?
Kwanza ili kufika kwa hio island lazma uende na choppernonsense......this thing for all that
Alipojenga Airport Chattle tulipiga kelele wewe hukusikia humu?Hawa ni wivu inawasumbua. Tukifanya maendeleo yetu eti ni waste of money wakati wao hawana hata chembe cha maendeleo wanaokejeli.
Magufuli alipojenga airport kijijini kwao that serves no purpose walikuwa wapi?
Most if not all of our towns have dual carriageway hamuwezi kushindana na sisi kwenye hiloDual carriageway? [emoji23][emoji23][emoji23]
I cant count the number of towns in Kenya with dual carriageways. Endeleeni kuona wivu kwa development projects zetu wakati nyinyi hamna chochote
Sisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.Haiitaji kwa maoni yako. What do you expect from a Tanzanian mwenye hajui interchange ni nini hata kwenye miji yao mikubwa? Kwamba Mwanza na Arusha hazijakuwa na haja ya kujenga interchanges? And you are here making noise about our projects!
That Lamu port unayobeza is already handling your shit cargo due to your ports' limited handling capacities and inefficiencies
Kenya: Fifth Vessel With Zanzibar Bound Cargo Docks at Lamu Port
Lamu port has received its fifth container cargo ship since it begun its operations in May this year, as the government is set to dispatch a team next week to market the facility to the neighboring countries.allafrica.com
Well said, ndio maana you have demonstrations now.The past defines the future.
Kila irrigation waliofanya waliishia kupoteza pesa za taxpayers kwa mafisadi ππSisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.
Mfano mzuri ni serikali kuweka nguvu kwenye railway city project kwasababu watu wameshachungulia deal la real estate wakati wananchi wakulima na wafugaji wanakufa njaa maana serikali ilitakiwa ifanye irrigation kuwa national priorty wajenge mabwawa mengi ili kuondokana na njaa na vifo vya binadamu na mifugo.
Tanga port receives real ships and not boats as in the case of Lamu, the transhipment port for camels and charcoal.Lamu port ina miaka miwili imepokea 19 vessels wakat tanga wamefungua new bearth wiki mbili ishapokea 5 vessels hebu wewe niambie sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
@Nicxie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwa international
Yes imapokea charcoal yetu na ngamiaHaingekuwa inapokea mizigo zenu if that was the case
Ukiwaambia ukweli wanakasirika kabisa π€£Sisi projects zetu ni demand driven sio kujenga tuu halafu tunafanya prioritisation vizuri sana unlike you guys mwanasiasa akiona kuna ulaji mahali ana initiate project ili wapate kichaka cha kula hela ndio maana miradi yenu mingi ni obsolete haisaidii wananchi. Miradi iliyofeli kenya kwa reports za hivi karibuni ina value of almost 70bn USD If I am not mistaken.
Mfano mzuri ni serikali kuweka nguvu kwenye railway city project kwasababu watu wameshachungulia deal la real estate wakati wananchi wakulima na wafugaji wanakufa njaa maana serikali ilitakiwa ifanye irrigation kuwa national priorty wajenge mabwawa mengi ili kuondokana na njaa na vifo vya binadamu na mifugo.
Asante kwa kuileta hii ili kila mmoja wetu aone hasara imavyopatikana kwa uzembe wa viongozi wetu. Wao wakishachukua chao mapema mzigo unabaki kwa serikali.Ukiwaambia ukweli wanakasirika kabisa [emoji1787]
Imagine 1 trillion ksh wanatoa wapi kumalizia failed projects na hapo utakuta washatumia over 1 trillion ksh again pesa washabeba wanasiasa na investors wanaoshirikiana nao pesa ziko ulaya huko wanatungua wao wanahangaika kutafuta dollar
Wapi LAMU port???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imepokea transshipment 19 ndani ya miaka 2 π€£Wapi LAMU port???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]