Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
show us yours first Mr Richman
Therefore it is Kenyans who are in large number in Tanzania than other way round, who would like to stay in a country full of hatred among it's citizensYeap and the difference is Kenyans are in Tanzania to make money not beg like your fellow Danganyikans on our Kenyan streets. KCB, EQUITY, MPESA just to name a few companies
Only people without any direction or hope like beggers are the ones who would like to go to Kenya, but any person with good future can't even think about Kenya, very stupid country.Yeap and the difference is Kenyans are in Tanzania to make money not beg like your fellow Danganyikans on our Kenyan streets. KCB, EQUITY, MPESA just to name a few companies
Hawa partners inawezekana ni wale wa hand shake, kupeana dataSource inayoaminika duniani ni khight franks sasa hio yao sijui wameokota wapi inaitwa hanley and partners 🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo ni igizo, Gari iliyokuwa imeshikiwa bunduki ni nyingine so wa kachukua plate ya Gari ya odii ndio Waka weka kwenye hiyo yenye mitutu.Asante mkuu.. swali langu ni kuhusu hilo gari.. kwann wamealter plate number ya gari.. wamealter ili iweje?
Ngoja nitoe mfano, pengine Raila ana gari lenye plate number KBB 233B.. na hilo gar kweny picha plate number yake ni KDD 233P.. so wamealter plate no ya hilo gari iwe KBB 223B ili lifanane na la Raila ambae analalamika amepigwa na Teargas .. huu ni mfano tu ila nimehis hivyo.. ila nataka kujua ukweli kuhusu plate no ya hio gari kuwa altered
Ehn mzee upumzike sasa naona hujaelewa nilichouliza .. plate number haijachukuliwa kutoka sehem nyingine. Ila imekuwa altered.. yan plate number ya hio gari ni hiohio ila either wamebandika tape nyeus ili kubadilisha namba na herufi ili zisome herufi nyingineHilo ni igizo, Gari iliyokuwa imeshikiwa bunduki ni nyingine so wa kachukua plate ya Gari ya odii ndio Waka weka kwenye hiyo yenye mitutu.
Walichokosea, mmoja wapo wa hao washika mitutu ni bodyguard wa odii... Soo ndio picha liko hivyo