Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mamillionea 3000 wamefirisika ama?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwanza source yenyewe ni hanley and partners sio knight franks 🤣🤣🤣🤣 alaf ajabu ni kwamba wametoka kwenye millionare 2000 mpaka 7700 kwa miaka miwili ya misukosuko ya corona na kila aina ya dhoruba

Alaf walivo na akili za kondoo wanawashangilia 😆😆😆😆
 
Na kwajinsi walivyo washenzi eti wamewapunguza dollar millionaires wa Tanzania kutoka 5,000 mpk 2000 ili tu waonekane wameizidi Tz kwa mbali.
Source inayoaminika duniani ni khight franks sasa hio yao sijui wameokota wapi inaitwa hanley and partners 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naomba mkenya au yeyote anieleweshe hapa.. nin kimetokea hapa.
Plate number ya gari wanasema imekuwa altered kutoka KDD 233P hadi kuwa KBB 233B.. naomba kujua motive behind ya kualter plate number hii gar (why plate number ya gari imechorwa chorwa kuwa namba nyingine, lengo ni kuficha nn au kuonyesha nn?), pengine nina kitu cha kujifunza kwenye harakat zangu. Heh
Wanalazimisha Jumuiya za kimataifa kuingilia Kati, kwamba Baba Odii anaonewa na serikali ya hustler.. Hivyo team ya Baba wanafanya PR chafu kutafuta huruma nje huko ili mashinikizo yawekwe dhidi ya serikali.

Ajabu raia pole pole wana anza kumkataa.. Juzi katoa hela Chap za kujenga Kanisa baada ya viongozi wa kidini kumwambia asitishe maandamano atulie.. Akawazima Kwa style hiyo.

Bado ana wakati mgumu kupenya ndani ya serikali ya Sasa, hawa wahuni wa Sasa wana uchu nae... The end game gikuyu will unite themselves.. So as their close allies in power the kalee.. And all of them will be against the luos... Na ndio mwisho wa baba hapo.
 
Mm ukibishana na mm akili yako iwe imekaa vizuri sio unakuja na hangover za muogokaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kondoo wa blue wewe mukibanwa kwenye mambo ya msingi munakasirika
Wewe huwa na akili kama za ngombe na unapenda mabishano mimi hutawai nipata nikibishana na wewe.
Unaniletea ripoti ya knight frank ya 2020 wakati kuna ripoti zengine 3 za knight frank zimetokea baadae ili tu uonekane unabishana na kwasababu hio tu ndo report ishawai tokea ikawaweka mbele ya Kenya. Alafu si knight frank to ripoti zao zinatumika na kukubalika, kama hufahamu Henley and partners reports unaweza jifanyia research mimi sina huo muda wa kukuelimisha. Goodnight
 
Ziko wapi sasa hzo report za knight frank mbona huzionesh tukaona ukweli au kwakua hazijaonesha unachotaka ndio hupost 🤣🤣
Punguzeni sifa za uongo uongo ndio maana dunia inawaumbua sasa

Yani mtu unakaa kabisa unashangilia report from hanley and partners wakat mambo yako wazi 2020 wote mlikaa kimya baada ha report ya knight franks eti mumetoka 2000 millionarea mpaka 7700 kwa miaka miwili full corona full majanga ya kidunia 🤣🤣🤣

Nimekwambia ukitaka kubishana na mm jitahidi usiwe na hangover za muogokaa au jaba, kondoo jike wewe 😆😆😆😆
 
Wewe huwa na akili kama za ngombe na unapenda mabishano mimi hutawai nipata nikibishana na wewe.
Unaniletea ripoti ya knight frank ya 2020 wakati kuna ripoti zengine 3 za knight frank zimetokea baadae ili tu uonekane unabishana na kwasababu hio tu ndo report ishawai tokea ikawaweka mbele ya Kenya. Alafu si knight frank to ripoti zao zinatumika na kukubalika, kama hufahamu Henley and partners reports unaweza jifanyia research mimi sina huo muda wa kukuelimisha. Goodnight
Hata 2021 inaonesha watu wengi walifilisika kenya kutoka na lockdown za corona wakat tanzania effect ilikua very small😆😆👇👇

ww unataka kutuletea hadithi za abunwasi hapa ndio maana dunia haichoki kuwaumbua kwa ujinga mlionao eti munakaa kujisifu mumesoma hvi msomi anaeza jisifia uongo kweli 🤣🤣

Mwaka jana kenya ilkua na 8500 dollar millionaires wamedrop to 7700 according to Africa wealth report by henley and partners
Sibishani na ngombe kama wewe
So, wkt nyie mnatengeneza milionea 8500 Tz ilikuwa wameshuka kutoka 5553 au sio? Na wkt huo huo Tz haikufunga uchumi wake kwa covid na bado nyie mkapanda kuliko Tz iliyokuwa na milionea mara mbili yenu au sio? Na ukumbuke pia Tz ndiyo nchi pekee yenye bilionea EA na bado mnaizidi kwa mbali licha ya kwamba haikufunga uchumi wake kama nyie na licha ya kwamba miaka miwili iliyopita ilikuwa juu yenu kwa idadi ya milionea yani mara mbili ya idadi ya milionea wenu, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ww soma hii report 2021 ya knight franks uone maajabu na wameitaja corona na lockdown ndio source ya matajiri wengi kenya kufulisika 😆😆😆👇👇👇 ww huoni hata wenzake hawana habari nayo siwanjau dunia ya sasa haina mzaha ukidanganya tu inakufunua chupi mapema tu

So, wkt nyie mnatengeneza milionea 8500 Tz ilikuwa wameshuka kutoka 5553 au sio? Na wkt huo huo Tz haikufunga uchumi wake kwa covid na bado nyie mkapanda kuliko Tz iliyokuwa na milionea mara mbili yenu au sio? Na ukumbuke pia Tz ndiyo nchi pekee yenye bilionea EA na bado mnaizidi kwa mbali licha ya kwamba haikufunga uchumi wake kama nyie na licha ya kwamba miaka miwili iliyopita ilikuwa juu yenu kwa idadi ya milionea yani mara mbili ya idadi ya milionea wenu, Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanalazimisha Jumuiya za kimataifa kuingilia Kati, kwamba Baba Odii anaonewa na serikali ya hustler.. Hivyo team ya Baba wanafanya PR chafu kutafuta huruma nje huko ili mashinikizo yawekwe dhidi ya serikali.

Ajabu raia pole pole wana anza kumkataa.. Juzi katoa hela Chap za kujenga Kanisa baada ya viongozi wa kidini kumwambia asitishe maandamano atulie.. Akawazima Kwa style hiyo.

Bado ana wakati mgumu kupenya ndani ya serikali ya Sasa, hawa wahuni wa Sasa wana uchu nae... The end game gikuyu will unite themselves.. So as their close allies in power the kalee.. And all of them will be against the luos... Na ndio mwisho wa baba hapo.
Mwisho utakuwa ni vita mana hapo kuna njaa plus ukabila plus tamaa ya kuzaliwa ya Wakenya, kule Kenya mpaka omba omba ana tamaa, mpk bodaboda ana ndoto ya kuwa rais, so genocide loading....
 
Hata hawa wanuka mavi wa humu nao wana dream kuwa marais hapo mbeleni msiwaone hivi, yn Kenya ni nchi ya kisenge sana.
 
Wanalazimisha Jumuiya za kimataifa kuingilia Kati, kwamba Baba Odii anaonewa na serikali ya hustler.. Hivyo team ya Baba wanafanya PR chafu kutafuta huruma nje huko ili mashinikizo yawekwe dhidi ya serikali.

Ajabu raia pole pole wana anza kumkataa.. Juzi katoa hela Chap za kujenga Kanisa baada ya viongozi wa kidini kumwambia asitishe maandamano atulie.. Akawazima Kwa style hiyo.

Bado ana wakati mgumu kupenya ndani ya serikali ya Sasa, hawa wahuni wa Sasa wana uchu nae... The end game gikuyu will unite themselves.. So as their close allies in power the kalee.. And all of them will be against the luos... Na ndio mwisho wa baba hapo.
Asante mkuu.. swali langu ni kuhusu hilo gari.. kwann wamealter plate number ya gari.. wamealter ili iweje?
Ngoja nitoe mfano, pengine Raila ana gari lenye plate number KBB 233B.. na hilo gar kweny picha plate number yake ni KDD 233P.. so wamealter plate no ya hilo gari iwe KBB 223B ili lifanane na la Raila ambae analalamika amepigwa na Teargas .. huu ni mfano tu ila nimehis hivyo.. ila nataka kujua ukweli kuhusu plate no ya hio gari kuwa altered
 
Hata hawa wanuka mavi wa humu nao wana dream kuwa marais hapo mbeleni msiwaone hivi, yn Kenya ni nchi ya kisenge sana.
Kenya bila kua politician na kukubalika utajiri utaskia mbinguni tu ndio maana unaona huko politicians ndio matajiri na wale investors wanaotoka nje wakishiriana pamoja

Arable lands kenya zinamilikwa na either foreign investors au politicians 😆😆😆😆
 
According to the Africa wealth report of 2023, The top richest cities in Africa with the most number of millionaires are:

Johannesburg (14,600 HNWIs)
Cairo (7,400)
Cape Town (7,200)
Lagos (5,400)
Nairobi (4,700)
Durban (3,600)
Pretoria (2,400)

Ndo maana watu wana hasira huku [emoji23]
 
Hasira source hanley and partners 😆😆😆 ni mtanzania gani atakua na hasira ikiwa ukweli sisi tunaujua hamutaki source from knight franks na ndio source inayoaminika duniani 😆😆😆
 
Kenyans are wealthier than their East African citizens. No wonder they all troop in Kenya to make a living.
 
Hasira source hanley and partners [emoji38][emoji38][emoji38] ni mtanzania gani atakua na hasira ikiwa ukweli sisi tunaujua hamutaki source from knight franks na ndio source inayoaminika duniani [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23]
FB_IMG_16802895506445927.jpg
 
Back
Top Bottom