The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Sisi Tz ni nchi maskini zaidi EA tena fukara kabisa kuliko nchi yoyote EA lkn tunailisha EA, tunafanya miradi yenye thamani kubwa zaidi kuliko miradi inayofanyika nchi zote EA combined na ndiyo nchi pekee EA iliyo install technology mpya katika usafiri wa anga, majini na ardhini (electrifitried SGR, BRT system, modern planes, biggest and modern ship etc) na ndiyo nchi pekee EA ambayo raia wake wana uhakika wa chakula kwa asilimia 100, so bakini na makaratasi sisi tunazidi kujenga nchi mkija kuamka tumeshatoka lower middle income country mpk upper middle income country.[emoji23][emoji23]View attachment 2572461