Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperhill
IMG_211852_30323.jpg
 
Kenya shilling is stabilizing sasa we have made deals to de_doll arise the dollar and countries have started accepting Kenyan shillings as a means of payment, give it one year and Urania hata tanzania ikinunua bidhaa kwa Kenyan shillings. This man ruto nafikiri ni watu hawamuelewi yeye anaona bora mteseke kwa muda mfupi by removing subsidies but anaweka mikakati ambayo in the long run the economy itakua strong all they have to do now ni lie sure we have a lot to export ndo other countries see value to have the Kenya shilling.
Kenyan shilling ni takataka tuu kama takataka zingine if you import more than what you export nani atataka hiyo takataka yenu.
 
Mm naunga mkono maandamano kwa nguvu zote ili wapungue, wapo wengi mnoooo alafu kujitafutia hawawezi mpk wapewe misaada, sasa viumbe dizaini hii watatuletea shida hapa EA kwa ongezeko la watu ambalo ni unnecessary.
Kumbe mfadhili wa maandamo ni Naibu Rais wao na Kuria. Weshapigwa sanctions na Marekani wao na familia zao jumla wako 4.

Niliwaambia hawa watu huyo msaidizi wa Rutto ni mtu wa visasi na vinyongo atawapeleka kubaya..na hapa bado tutegemee chaos nyingi zaidi.
 
What's the importance of Tanzania to Kenya? Actually Tanzania is a burden to Kenya cause you keep on exporting beggars, drug dealers and witches to Kenya. You can't Walk a distance of 100 meters without meeting 5 beggars from Tanzania.
70% of foodstuffs consumed in Kenya comes from Tanzania now assume Tz was not there your entire population would have been on a dearhrow.
 
Tuko njaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nchii hii sijui nami kawaloga jamaa juzi wanaandamana asubuhi mapema tuu huku karau kashalewa chakari hata kudhibiti maandamano hakuweza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni hatua nzuri ulioichukua lakini bado haitoshi ni nyepesi sana nilitaman kuskia na mali zao zitaifishwe hapo ingeleta maana

Waziri mbarawa bado anafanya nn au anasubiri nn ?? Waziri wa fedha anasubiri nini?? Gavana wa BOT anasubiri nini ???

Mlolongo unaanzia kwa Government flights agency unaendelea wizara ya uchukuzi mpaka wizara ya fedha.
 
Some of the deals that Ruto concluded with the European Union and US companies this week

1) VISA to set up, and launch #KOMEX
2) GENERAL ELECTRIC (GE) Healthcare to explore Knowledge Transfer through top Kenyan universities
3) COCACOLA to grant $1M to SME/Youth activities.
4) PFIZER to work with MOH
5) KENINVEST to fastrack #STIP
6) ABBOT to manufacture in Kenya
7) USTDA to partner in Digital, Healthcare,
8) Kenya also receives Ksh. 56 Billion from the European Union for construction of first electric BRT in East Africa.

9) Deal highlight was Moderna to build first MRNA Facility outside of the US in Kenya with an investment of USD 500M.
 
Wala sio sababu hiyo,wewe unaona Sgr itabeba nini huko Mwanza?

Hiyo trc Kuna mwaka imewahi pata faida? Tazara inakula hasara sembuse TRC..

Mimi nilishaikataa hiyo reli siku nyingi sana ila Kwa kuwa ni mapambo na miradi ya kupigia pesa sawa pigeni ila kwenye Tija hamna kitu..

Ni sawa na wale waliposema wanajenga Bandari za Karema na Kasanga eti Ili kuondoa msongamano wa malori Tunduma,unajiliuza how? Kwa Jiografia Ipi?

Bandari zimekamilika Kwa mabilioni, congestion ndio kwanza inazidi pale Tunduma.
Mchanga wa dhahabu uko mwingi sana ukanda huo pia mchanga wa madini toka Burundi na Congo ni mwingi sana na wote huwa exported via Dar Port.

Halafu for your information ukitaka kujua kuwa hii corridor ina hela kipande cha sgr Uvinza Gitenga Burundi hela ya ujenzi inatolewa na mteja toka Burundi to the tune of USD900m gharama kuwa compensated kwenye kubeba mzigo wa mteja husika.
 
Kama mizigo kwenda uganda inatumia 4 days through south port of mwanza kwa hii reli ya kawaida je SGR ambayo itatumia only 2 days huoni ni advantage na pia itaongeza opportunities ya waganda kutumia port of dar es salaam na pia itakua ni cheap sana kwao alaf pigia mahesabu miaka 30 mbele biashara zitakuaje na population itakuaje
Mzigo utakuwa unatoka Dar na kufika mwanza in 7 hours then overnight on lake victoria to port bell.

So from Dar to Port bell in less than 24 hours nani atapitisha mzigo Mombasa 5 to 6 days.
 
Swala hapa ni kwamba volume ya mzigo ni ndogo,kwamba unaamini with Sgr Waganda watahama Njia ya Mombasa waje Tanzania? Labda kama hawataunganisha reli Yao na Kenya ila wakiunganisha hakuna kitu hapo itaendelea kuwa alternative tuu in case of inconveniences
Mzigo utatoka Dar na kufika Uganda Port Bell in less than a day compared to 5 to 6 days Mombasa route sasa wewe kama mteja utatumia route gani.
 
Some of the deals that Ruto concluded with the European Union and US companies this week

1) VISA to set up, and launch #KOMEX
2) GENERAL ELECTRIC (GE) Healthcare to explore Knowledge Transfer through top Kenyan universities
3) COCACOLA to grant $1M to SME/Youth activities.
4) PFIZER to work with MOH
5) KENINVEST to fastrack #STIP
6) ABBOT to manufacture in Kenya
7) USTDA to partner in Digital, Healthcare,
8) Kenya also receives Ksh. 56 Billion from the European Union for construction of first electric BRT in East Africa.

9) Deal highlight was Moderna to build first MRNA Facility outside of the US in Kenya with an investment of USD 500M.
Deal gani wewe unakuja kutudanganya hapa ni kichaa gani atakuja kuekeza kenya hio 56b ya electric BRT iko wapi sio nyinyu mliopoteza pesa za taxpayers kuchora thika yote mukadhani BRT ni sawa na kula githeri tu 🤣🤣🤣🤣🤣


Huku mwenzako kamwaga fedha tu 560m usd + 1.4m usd for marbug relief


export-import banks will sign an MOU with Tanzania which will facilitate up to 500m USD in the US export to Tanzania in the areas of Transportation,…


IRVINE will invest Sh74.8 bn in TZ poultry industry


🇺🇸 agreed to provide tech and 5G assistance to 🇹🇿, and boost cyber security.


🇺🇸 USAID provide 1.1b usd to tanzania for economy, health and education


🇺🇸 will assist tanzania in Port Transaction Advisory Services


🇺🇸 will invest in mineral processing industry for batteries
 
Back
Top Bottom