ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwasababu mradi ulianzishwa na magufuli ila anganzisha mama haya mapovu tusingeyaskia 🤣🤣🤣🤣 mbona anaendeleza sasa kama hajui faida yakeHicho ki Sgr hakiwezi kuja kuleta faida ,Kwa mzigo gani huko Mwanza inakojengwa?
Tazara inayoenda ambako 70% ya mzigo wa Bandari ya Dar inakula hasara sembuse hiyo ya kwenda Mwanza na Kigoma?
Bora Kunyaland mlijenga Sgr kwenye economic corridor
SGR kwenda mwanza kuna faida sana hasa mizigo inyoenda uganda ww huwez kuona faida kwasababu una kichwa cha mwendawazimu 😆😆😆😆