Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hutak aseme ukweli kama kuna upotoshaji ikiwa third class SGR ni modern kuliko 1st class yenu je ulitaka bei ziwe sawa au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We know this tactics. They used kikiumana
 
Now what is this even nyeri beats it hands down
nyeri yenyewe sasa 😂😂😂😂😂

this app is so funny 😅

images (43).jpeg
images (42).jpeg
images (40).jpeg
images (38).jpeg
 
Hakuna tena kuagiza vifaranga Kunyaland Wala Brazil..

Chonde chonde hizi biashara ziwe za ubia unless ni for exports
 
Oneni jahanam ya duniani oneni makazi binaadamu anaishi aisee alhamdulilah [emoji2969]
Aisee nmeangalia zaidi ya mara kumi, vijana wa Kenya wana hali ngumu sana kwakweli, nguo zao ziko hovyo sn, yn hata vijana wa vijijini huku Tz hawavai hivyo alafu hayo mazingira ndiyo usiseme kabisa, ovyo sn hata mm ningeandamana.

Kweli vijana wa Tanzania hatuna sababu ya kuandamana aisee, wenzetu wana maisha magumu magumu magumu mnooo.
 
Back
Top Bottom