ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,898
Kama mizigo kwenda uganda inatumia 4 days through south port of mwanza kwa hii reli ya kawaida je SGR ambayo itatumia only 2 days huoni ni advantage na pia itaongeza opportunities ya waganda kutumia port of dar es salaam na pia itakua ni cheap sana kwao alaf pigia mahesabu miaka 30 mbele biashara zitakuaje na population itakuajeWala sio sababu hiyo,wewe unaona Sgr itabeba nini huko Mwanza?
Hiyo trc Kuna mwaka imewahi pata faida?