Hapa Mama pia angeongea kitu kwa hawa madogo kwenye vitasa wanatuwakilisha vizuri sana.
Akiwapa motisha tutaibua vijana wengi na kuzidi kuitangaza nchi kimataifa. Tuna vipaji vingi vipo mtaani shida kubwa wanakosa mtu wa kuwabeba.
Kwa mfano akisema kila bondia atakayeshinda mkanda wa kimataifa anapewa 20m,aisee vitasa vitapigwa na watu watapigika.
Mama hata wapiga masumbwi ni wanao pia kama wa footballer.
Siwaachi nyuma kuwapaongeza Azam Media kwa kuutangaza huu mchezo hongereni sana.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120]