game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
Usijali,,,hiki kipindi kinapita tu Na mambo yatakuwa Sawa,
Kitapitaje sasa ikiwa nchi nzima mnaishi kwa kula ugali, halafu hamlimi mkitegemea wakulima wa Tanzania wawalimie wawauzie kwa bei mnazoweza kumudu?
Huoni kama unga utaendelea kupanda bei na maisha yatakaza sana pande hizo ?