Ingekuwa Tanzagiza hii ingejengwa either na mkenya, mchina, mnigeria, mwarabu ama mhindi.This Sugar Industry in Kericho is being built by a Kenyan.
Three industries are lined up to open in Kericho
View attachment 2560743
Kwahiyo katiba yenu imeruhusu jambo la fujo na kuharibu Mali liwe linafanyika na kukubalika kisheria?.ushawahi skia wapi protest za ustaarabu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ? Danganyika nyinyi ni wazembe kweli hadi protest mnataka ustaarabu. Hata indepedence ya Kenya tulipewa kwa kumwaga damu sio kukaa chini kitako. In life you have to fight for what you want.
Sio ustaarabu tu, na akili pia.Watanzania ndio viumbe wastaarabu zaidi kwenye hili bara zima la Africa.. no wonder Mungu akatujaalia Ardhi yenye rutuba, water bodies mingi na utajiri wa madini
Kenya kuja kufikia level ya Tz Kwa sasa labda 20 years to comeBaada ya Simba SC kuingia robo fainali CAFCL na Yanga SC kuingia robo fainali CAFCC, sasa Tanzania tupo nafasi ya 7 kutoka 11 kwa association ranking kupitia clubs performance kwa mfumo wa CAF
View attachment 2560294
Hiki ndio kinawaponza nyie jamaa, mnapenda ranking za ajabu ajabu alafu kwa ground kunanuka uvundo…….hamkomi tu?
Protesting is your fundamental right because your demands are very basic. Imagine, living in a country where a decent meal a day is luxury.Kenyans dont follow, we lead. Mtanzania hawezi niambia lolote kuhusu maandamamno na huwa unaionea kwa TV za Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Lakini you sound more of tribalist than even Kenyans. Our politics are shaped the way they are because of our origins. We are very proud of our 42tribes and that is not going to disappear even in 1000s years to come. The problem is when "politicians" use the masses for greedy self interest. But than doesn't mean Kenyans are divided.The different between these 3 countries is, while South Africa and Tunisia they are civilized citizens, they do political demonstrations, in Kenya is uncivilized people, demonstrations are not political rather are anchored on Tribalism.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akili gani huku umenyimwa media freedom na freedoms zingine za kimsingi?? We acha mwenye akili ni yule anayefahamu haki zake na yuko radi kupigania haki zake zisikue trumped upon. Eti watanzania ni wastaarabu na wenye akili kwa kutoandamana [emoji23]Sio ustaarabu tu, na akili pia.
Unless you have zero idea of what is dictatorship.Jamaa hawajui maandamnao ni nini kwa maisha. Hawajui kutawaliwa na chama kingine ni nini ni CCM tangu indepedence. Tanzania is a low key dictatorship 🤣 🤣 🤣 🤣
Sisi tatizo letu ni moja na soon tunaenda kulisolve for good. TFF ndio tatizo kwenye timu za taifa.Yet Ghana Cameroon Senegal Nigeria ziko na the best national teams by far.
They don't deal with amateur leagues