Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaweza pishana hapa. Nchi zote za Europe wamekuza mpira wao kwa style ya wachezaji wa kigeni.

Hapo ni kujenga na kukuza competence. With maximum competence in place, wazawa watalazimika kukaza kucheza kwenye ligi na kupata namba, as time goes by, competence ya Wazawa itaongezeka na Watarejea tena kudominate kwenye ligi yao.
Nimekuelewa kaka, tatizo halipo kwenye ligi wala kuwa na wachezaji wageni bali timu ya Taifa. Kwa hoja yako hiyo ya competence, inakuwaje nchi za Afrika Magharibi zenye ligi mbovu kuweza kufanya vizuri kwenye timu zao za taifa?
 
Unless you have zero idea of what is dictatorship.

Since independence, Kenyan politics, land and jobs in all governmental institutions have been under a full dominion of major tribes - Kikuyu and Kalenjin in particular.

Nitajie rais aliyetoka nje ya makabila hayo mawili tangu 1960s?
Mna hali mbaya sana.

Wakikujibu nisanue
 
Jamaa hawajui maandamnao ni nini kwa maisha. Hawajui kutawaliwa na chama kingine ni nini ni CCM tangu indepedence. Tanzania is a low key dictatorship 🤣 🤣 🤣 🤣
Toka mupate uhuru kenya imetawalia na makabila mawili tu kalenjin na kikiyu na je kenya kuna makabila mangap???🤣🤣🤣 bahat nzuri tanzania ishatawaliwa na makabila 6 tofaut just imagine
 
The ever changing Kilimani 😍
IMG_20230321_225221.jpg
 
Back
Top Bottom