game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
Calm Nairobi this morning. You can't find these kind of streets anywhere in this region.
![]()
Dar CBD is cleaner and modern than this pathetic thing you just shared
Calm Nairobi this morning. You can't find these kind of streets anywhere in this region.
![]()
umeamua kupiga uppercut kwenye korodani kabsaaa!! mwana umeua kizazi🙆♂️🙆♂️🙆♂️Hii battle kuna time inapoteza maana kabisa, unaweza kuuliza kwanini.?
Tutashindanishaje donor country vs hawa jamaa wenye wanaandamana kwa kukosa unga.? 🤣
Ila jamaa wameidanganya sana dunia.. waswahili wanasema "ukweli utafika tu hata kama utachelewa" saivi sio siri tena 🤣🤣
Kwenye chakula we walk the talk.
Waswahili husema mchana huenda na usiku hurudi 🤣🤣🤣Hii battle kuna time inapoteza maana kabisa, unaweza kuuliza kwanini.?
Tutashindanishaje donor country vs hawa jamaa wenye wanaandamana kwa kukosa unga.? 🤣
Ila jamaa wameidanganya sana dunia.. waswahili wanasema "ukweli utafika tu hata kama utachelewa" saivi sio siri tena 🤣🤣
Dunia inawalazmisha wabadilike na sio kukaa kujificha kwenye uongo wa kudanganya dunia hiiUkweli hawa watu ni mafukara,
Yaani bei ya Unga wa ugali imesababisha maandamano ya nchi nzima ?
Teargas leo hayuko JF ana trend tuu huko mtaani.Pasuaneni tu kwetu ni furaha [emoji116][emoji116][emoji116]
Cargo planes 2 sawa lakini kwa ukubwa wa ATC 3 bado hatujafika huko.Ndo maana nasema hazitoshi. Basi waongeze hata 737 mbili. Kwa ajili ya mzigo wa MBEYA, Mwanza na Dar
Dah huyu mwamba na jiwe lake likimpata mtu kichwani moja kwa moja mortuary.Uaneni tu hakuna namna, mm nawaunga mkono.View attachment 2559191View attachment 2559192View attachment 2559193
wako busy na maandamano!Je watafurahia wakenya??🤣🤣🤣🤣 iko kwenye majaribio ya mwisho
View attachment 2559081View attachment 2559082View attachment 2559083View attachment 2559084
Siku zote ukweli ukidhihiri, uongo hujitenga kaka ..Dunia inawalazmisha wabadilike na sio kukaa kujificha kwenye uongo wa kudanganya dunia hii
Wakubaliane na madhaifu yao wajue dunia inafahamu uongo wao warudi chini wajipange vzr huo ndio ushaur wangu🤣