Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikisema Nairobi yote ina lami nitakuwa nadanganya ila sehemu zisizo na lami ni mostly Estates mpya kwenye outskirts mwa jiji. Alafu Estate zenye hadhi ya chini huwa na poorly maintained roads but Estates zenye hadhi zote zina barabara. Sasa hapo Dar Estates kama Mbezi hazina barabara na huko ndiko wanakokaa mabwenyenye wenu. Yani hadi wewe ukitafuta pesa aim ni kujipata ukiishi huko. Hiyo ni aibu.
Tz is a developed country than Kenya.
 
Ninarudia Tena, hakuna musician yeyote katika ukanda huu mwenye Nyumba inayozidi japo $500,000. The richest musician in East Afrika, Diamond Platnumz, Nyumba yake South Afrika alinunua kwa $200,000.

Hapa Tanzania alinunua Hotel, hiyo ni investment, sio residential house, kwa Tshs 1.5B, sawa na $700,000. Lakini Nyumba zake zote alizonazo, hakuna inayozidi $500,000. Wacheni ujinga nyinyi, kupenda sifa.

Akothe hana pesa yoyote ya maana, hana miradi yoyote inayoonekana yenye kumuingizia pesa Kama miradi ya Diamond inavyoonekana, taja pesa anatoa wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Akothee all Kenyan houses are $800,000 kuendelea. Kama Diamond hajafikisha hapo mwambie atie bidii😂😂😂. Anyway let's stop arguing kuhusu mali za watu wengine, the whole world knows that Akothee is better than Diamond by far🤣😂🤣
 
1. Audi Limousine
View attachment 2554018

2. Ferrari Spiderh
View attachment 2554023
View attachment 2554047
3. Mercedes Benz SLS McLaren
View attachment 2554026
View attachment 2554030
View attachment 2554065
4. Toyota Land cruiser ( Hiyo Mercedes alinunulia mtoto wake as a birthday gift)
View attachment 2554032

5. Rolls Royce phantom
View attachment 2554039
6. Toyota Hilux
View attachment 2554040

7. Audi
View attachment 2554042
8. Toyota Prado
View attachment 2554072
View attachment 2554078
So akipiga picha na gari ni yake, punga wewe.
 
Tz is a developed country than Kenya.
Says a suffering watchman 😂😂🤣🤣

IMG_20210712_220639.jpg
 
Anzisha battle uone Moto [emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hamchoki kucharazwa?😂😂🤣🤣 Hii sector si tulishawagonga kitambo sana mkaanza kulia ati sijui ooh, mnapost tu private hospitals 😂😂🤣
 
Piga nduru[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]

View attachment 2554391
Let's ushahidi Kama hii Nyumba ni yake. Huyu Akothe huwa anatembea na mababa wa Kizungu.

Mwanzo ulisema ni France, Sasa unasema ni Swirzaland. Hakuna mwanamziki yoyote anayeweza kununua property Uswisi, Mimi nimefika huko ninakuja vizuri Sana, Swirzaland is one of the most expensive country to own property, very very expensive. Akothe hana pesa Wacha kutupotezea muda, huyo ni Malaya wa wazungu vizee vyenye pesa huko Europe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Let's ushahidi Kama hii Nyumba ni yake. Huyu Akothe huwa anatembea na mababa wa Kizungu.

Mwanzo ulisema ni France, Sasa unasema ni Swirzaland. Hakuna mwanamziki yoyote anayeweza kununua property Uswisi, Mimi nimefika huko ninakuja vizuri Sana, Swirzaland is one of the most expensive country to own property, very very expensive. Akothe hana pesa Wacha kutupotezea muda, huyo ni Malaya wa wazungu vizee vyenye pesa huko Europe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kumbe naongea na kichaa, Zurich Iko France?😂😂🤣😂. Siku Diamond atafikia Akothee come and tag me. Goodbye. 🤣🤣😂
 
Akothee all Kenyan houses are $800,000 kuendelea. Kama Diamond hajafikisha hapo mwambie atie bidii[emoji23][emoji23][emoji23]. Anyway let's stop arguing kuhusu mali za watu wengine, the whole world knows that Akothee is better than Diamond by far[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Mtembeza K*u*m*a kwa wazungu huyo, atatoa pesa wapi, punguzeni ujinga

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ubaya hizo pesa amekuwa akitumia in girls na kujibrag nazo, si ati anaziinvest. Remember money once spent wrongly will never return. One thing Akothee is doing better than most artists is investments. Huyo akipata tu pesa hivi anaweka kwa biashara. She has started horticulture business right now and right now she owns a Forest with 40,000 pieces of eukalyptus Grandis and still expanding. She is planning to 500,000 pieces with each earning $10. You can search for Akothee Forest
Usilazimishe mambo mnuka mavi, uyo mtu wako usimfananishe na mondy, kwanza sio mwanamuziki na hajulikani.
 
Kumbe naongea na kichaa, Zurich Iko France?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Siku Diamond atafikia Akothee come and tag me. Goodbye. [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Wewe hujatembea Dunia, ndio sababu utapapatikia Malaya Kama Akothe, huyo hana uwezo wa kumiliki Nyumba kubwa Kama hiyo Europe, hana helahuyo, onyesha miradi gani inayomuingizia pesa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Stop comparing Diamond vs Akothe, they are far apart like mbingu na Ardhi. Tunarudia tena, Diamond ndiye musicians pekee katika ukanda huu mwenye pesa nyingi, anayetengenrza pesa nyingi kwenye shows zake, mwenye indorsement nyingi na makampuni makubwa ndani na nje ya Afrika, na mwenye makampuni makubwa yenye kuingiza pesa nyingi na kwa haraka, ninyi mnazungumzia kilimo Cha miti ya Eucalyptus, punguzeni ujuha.

Tuambieni Akothe ana kampuni zipi za maana zenye kutengeneza pesa kwa wingi Kila siku, hizo gari 5 za utalii ndio mnaita investment ya maana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pumbavu uyo, Wakunya wanapambana kujilinganisha na Tz kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom