Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somewhere in Njombe town
FB_IMG_1678802554415.jpg
20230314_170847.jpg
20230314_170843.jpg
thumb_513_1130x480_0_0_auto.jpg
caption(0).jpg
 
Account yake ya Youtube tuu ina-viewers zaidi ya 2B, on average 1000 views ni sawa na $3. Yeye anazaidi ya 2 billion views kwenye account yake ambayo ni sawa na thamani ya $6million.
Ubaya hizo pesa amekuwa akitumia in girls na kujibrag nazo, si ati anaziinvest. Remember money once spent wrongly will never return. One thing Akothee is doing better than most artists is investments. Huyo akipata tu pesa hivi anaweka kwa biashara. She has started horticulture business right now and right now she owns a Forest with 40,000 pieces of eukalyptus Grandis and still expanding. She is planning to 500,000 pieces with each earning $10. You can search for Akothee Forest
 
Mimi siwezi kujuwa utajiri wala investments za hao wasanii. Nilikuwa tuu namuonesha joto la jiwe kuwa pesa hiyo $7m na zaidi anapata.
 
Akothee nyar karachuonyo is still heavy for you tanzanians [emoji1787][emoji1787]
Yani Akothee anawanyima usingizi to a point Sasa wanaamza kumlinganisha YouTube subscriptions 😂😂. Kitu hawajui siku hizo Akothee YouTube kupata pesa zake, that's a business woman with brain. Anapata pesa alafu anaziinvest mahali. She is now in real estate, building luxury houses then sells to rich people at a higher price, she also has a foundation known as Akothee Foundation.
 
This road in Karen was made with strict rules not to cut down any tree. Karen is green and strives to remain that way
View attachment 2554075View attachment 2554076View attachment 2554077
Barabara zenu kienyeji mno, maisha yako yote unaweza kufananisha hicho kituko na barabara kama hii ya Tanzania? ninyi kufika ilipo Tanzania leo kwenye barabara mnahitaji waingereza wawatawale upya miaka 70 then mpate uhuru wa pili

View attachment 2554273
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
 
Akothee current ongoing project is the construction of Akothee Foundation Academy in Rongo, Migori County. Another source of income.

Wapi wale watetezi wa Diamond? 😂😂😂.
Screenshot_20230316-222817_1.jpg

1678994795398.png

1678994608811.png
 
Yani Akothee anawanyima usingizi to a point Sasa wanaamza kumlinganisha YouTube subscriptions [emoji23][emoji23]. Kitu hawajui siku hizo Akothee YouTube kupata pesa zake, that's a business woman with brain. Anapata pesa alafu anaziinvest mahali. She is now in real estate, building luxury houses then sells to rich people at a higher price, she also has a foundation known as Akothee Foundation.
Stop comparing Diamond vs Akothe, they are far apart like mbingu na Ardhi. Tunarudia tena, Diamond ndiye musicians pekee katika ukanda huu mwenye pesa nyingi, anayetengenrza pesa nyingi kwenye shows zake, mwenye indorsement nyingi na makampuni makubwa ndani na nje ya Afrika, na mwenye makampuni makubwa yenye kuingiza pesa nyingi na kwa haraka, ninyi mnazungumzia kilimo Cha miti ya Eucalyptus, punguzeni ujuha.

Tuambieni Akothe ana kampuni zipi za maana zenye kutengeneza pesa kwa wingi Kila siku, hizo gari 5 za utalii ndio mnaita investment ya maana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
Toka mpate uhuru mumejenga, Thika, expressway na barabara ya kwenda Ethiopia tu na ndio vimepelekea mpo na deni la trillion 9.5 mambo mengine ni porojo za wanasiasa wenu kuwachota akili sababu wanajua wanatawala viazi
 
Views za Afrika 1000 ni less than $1, jaribu kufuatilia jinsi wanavyothaminisha viewers kutoka maeneo ya Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni kweli Google wanatumia vigezo vingi kutoa mgao wa mapato ya matangazo ila huyu Diamond anawapenzi wengi tuu nje ya Afrika, na ameshirikiana na wasanii wengi wakubwa kama Rick Ross hivyo ad revenue yake kubwa kidogo.
 
Stop comparing Diamond vs Akothe, they are far apart like mbingu na Ardhi. Tunarudia tena, Diamond ndiye musicians pekee katika ukanda huu mwenye pesa nyingi, anayetengenrza pesa nyingi kwenye shows zake, mwenye indorsement nyingi na makampuni makubwa ndani na nje ya Afrika, na mwenye makampuni makubwa yenye kuingiza pesa nyingi na kwa haraka, ninyi mnazungumzia kilimo Cha miti ya Eucalyptus, punguzeni ujuha.

Tuambieni Akothe ana kampuni zipi za maana zenye kutengeneza pesa kwa wingi Kila siku, hizo gari 5 za utalii ndio mnaita investment ya maana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa vitu vyote nimeweka huku ni kilimo pekee ndio umeona?🤣🤣😂😂.

It will Diamond years to reach where Akothee is right now. This is another investment in form of a foundation. Ebu google Morning Start Resort Diani alafu urudi tuongee😂😂

Akothee Foundation Academy
Screenshot_20230316-222817_1.jpg

1678995396590.jpg

Ebu google morning star resort Diani alafu urudi😂😂
Screenshot_20230316-161525_1.jpg
 
Toka mpate uhuru mumejenga, Thika, expressway na barabara ya kwenda Ethiopia tu na ndio vimepelekea mpo na deni la trillion 9.5 mambo mengine ni porojo za wanasiasa wenu kuwachota akili sababu wanajua wanatawala viazi
Dongo kundu serikali ya Tanzania ndio ilijenga sindio?😂😂
 
Akothee current ongoing project is the construction of Akothee Foundation Academy in Rongo, Migori County. Another source of income.

Wapi wale watetezi wa Diamond? [emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 2554281
View attachment 2554275
View attachment 2554272
Onyesheni ni project gani kubwa ambayo inamuingizia pesa kwasasa, kwasababu muziki wake uneshapitwa na wakati, hapati tena pesa kupitia muziki Wala You tube viewers.

Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba project zote za Akothe zinalingana na pesa anayopata Diamond katika " Wasafi beti" pekee.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom