Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Changing face of Mbeya City
Mbeya should not even be called a market center.
Changing face of Mbeya City
Mkuu, zaidi ya 90% ya viewers wa wanamziki wa Afrika ni kutoka Afrika.Ni kweli Google wanatumia vigezo vingi kutoa mgao wa mapato ya matangazo ila huyu Diamond anawapenzi wengi tuu nje ya Afrika, na ameshirikiana na wasanii wengi wakubwa kama Rick Ross hivyo ad revenue yake kubwa kidogo.
Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealthOnyesheni ni project gani kubwa ambayo inamuingizia pesa kwasasa, kwasababu muziki wake uneshapitwa na wakati, hapati tena pesa kupitia muziki Wala You tube viewers.
Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba project zote za Akothe zinalingana na pesa anayopata Diamond katika " Wasafi beti" pekee.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hivi ninyi mnamjua Diamond au mnamsikia, mtu ambaye anawekeza miradi pamoja na Holly wood super stars, ninyi mnataka beach za Diani, mashamba ya miti na shule, are you really serious?.Kwa vitu vyote nimeweka huku ni kilimo pekee ndio umeona?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23].
It will Diamond years to reach where Akothee is right now. This is another investment in form of a foundation. Ebu google Morning Start Resort Diani alafu urudi tuongee[emoji23][emoji23]
Akothee Foundation Academy
View attachment 2554308
View attachment 2554304
Ebu google morning star resort Diani alafu urudi[emoji23][emoji23]
View attachment 2554306
ina kilometers ngapi? jibu kama kiazi wa RutoDongo kundu serikali ya Tanzania ndio ilijenga sindio?😂😂
Hakuna investments Diamond Ako nazo tofauti na Wasafi which is not giving him significant money. Ingekuwa Kuna other investments mngeshaziweka huku, anytime argument ya money ikitokea kati ya Diamond na Akothee vitu huwa mnaonyesha ni TU subscriptions, views, nyumba, wasafi na magari. Nothing outside those five😂😂😂. Zingine zingekuwa mngeshaweka huku mbio mbioHivi ninyi mnamjua Diamond au mnamsikia, mtu ambaye anawekeza miradi pamoja na Holly wood super stars, ninyi mnataka beach za Diani, mashamba ya miti na shule, are you really serious?.
Mwanamziki pekee ambaye anaweza kumzidi Diamond katika uwekezaji ukanda huu ni Fally Ipupa na Kabda Kofii Olomide kwasababu ameanza zamani.
Wasafi TV na Redio stations pekee, zinatosha kumfanya kuwa mwanamziki tajiri kuwazidi wanamziki wa Kenya wote kwa pamoja.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I bet, Akothee hafikishi hata $2M katika utajiri wake wote. Anapata wapi pesa?, Jana investment yoyote ya maana, wala hana Endorsement yoyote kutoka kwa makampuni makubwa.Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealthView attachment 2554325
Inatoshana na mekende yako. Makende yako ni kilometers ngapi?ina kilometers ngapi? jibu kama kiazi wa Ruto
Hapo kweli umejibu kama msukule wa RutoInatoshana na mekende yako. Makende yako ni kilometers ngapi?
Umebaki na maneno baadala ya kuweka picha🤣🤣😂🤣. Hizo $2M kwanza ni less than nyumba zake za Kenya pekee. Migori house $800,000, Nairobi house $800,000 and Mombasa house $1.2M. Bado sijaongelea za France na Zurich🤣🤣😂🤣. Sijaongelea real estate business yake pia.I bet, Akothee hafikishi hata $2M katika utajiri wake wote. Anapata wapi pesa?, Jana investment yoyote ya maana, wala hana Endorsement yoyote kutoka kwa makampuni makubwa.
Diamond ana Endorsement za karibia makampuni yote makubwa, kuanzia Pepsi, Airtel, Bank na mengine ndani na nje ya nchi. Huyo Akothe nje ya Kenya nani anamjua?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii article 90% ni uongo, Akothe hana nyumba nje ya Kenya. Diamond Yuko na Nyumba South Afrika tu na Zari ndiye aliyesababisha hiyo Nyumba inunuliwe.Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealthView attachment 2554325
Amini unachotaka😂😂😂🤣🤣. Siku Diamond atafika level ya Akothee uniambie 🤣🤣😂Hii article 90% ni uongo, Akothe hana nyumba nje ya Kenya. Diamond Yuko na Nyumba South Afrika tu na Zari ndiye aliyesababisha hiyo Nyumba inunuliwe.
Akothe hana nyumba popote zaidi ya hapo Kenya, weka ushahidi Kama Akothe anayo Nyumba France. Ninyi mumezidi kwa uongo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ninarudia Tena, hakuna musician yeyote katika ukanda huu mwenye Nyumba inayozidi japo $500,000. The richest musician in East Afrika, Diamond Platnumz, Nyumba yake South Afrika alinunua kwa $200,000.Umebaki na maneno baadala ya kuweka picha[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Hizo $2M kwanza ni less than nyumba zake za Kenya pekee. Migori house $800,000, Nairobi house $800,000 and Mombasa house $1.2M. Bado sijaongelea za France na Zurich[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Sijaongelea real estate business yake pia.
Jamaa kaumizwa na picha za Ramada resort, huyu mpuuzi ana chuki na Tz kupita maelezo, sasa ataumia zaidi mpk ata left JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbazi yenyewe haina barabara, vumbi tupu.\
![]()
Piga nduru😂😂🤣😂Hii article 90% ni uongo, Akothe hana nyumba nje ya Kenya. Diamond Yuko na Nyumba South Afrika tu na Zari ndiye aliyesababisha hiyo Nyumba inunuliwe.
Akothe hana nyumba popote zaidi ya hapo Kenya, weka ushahidi Kama Akothe anayo Nyumba France. Ninyi mumezidi kwa uongo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Civilized world na hamna chakula itakuwa civilized ya nyoko hiyo.Sijui huko LDC how you do things, but in Kenya and the rest of the civilized world, we deal with data.
Asante kwa render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Starehe Point affordable homes under construction, Nairobi.
Hii ukipeleka Dar is slum inakuwa new CBD [emoji23]
View attachment 2553980
tanzanian artists think kujipaka salad kwa kifua na magari nne ndio mwisho wa duniaHakuna investments Diamond Ako nazo tofauti na Wasafi which is not giving him significant money. Ingekuwa Kuna other investments mngeshaziweka huku, anytime argument ya money ikitokea kati ya Diamond na Akothee vitu huwa mnaonyesha ni TU subscriptions, views, nyumba, wasafi na magari. Nothing outside those five[emoji23][emoji23][emoji23]. Zingine zingekuwa mngeshaweka huku mbio mbio
Punguzeni ujinga, mtu hana mradi wowote wa maana zaidi ya kulala na wazungu, mnataka kumlinganisha na na mwanamziki mkubwa Afrika na mfanyabiashara mkubwa Kama Diamond Platnumz, wacheni ujinga ninyi.Amini unachotaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Siku Diamond atafika level ya Akothee uniambie [emoji1787][emoji1787][emoji23]