Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Umeiona hiyo nyumba ya mbezi kwa picha au unaropoka tu .?Hiyo ya Pretoria ni safi maanake Wasuzi kwa architecture wanajielewa, lakini hiyo ya Dra ni upuzi mtupu. Yani architecture mbovu itafanya utapike