President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Katikati ya mapaja ni mav.i au?Akothee anajulikana na Forbes 😂😂😂
Akothee tuambie
Katikati ya mapaja ni mav.i au?Akothee anajulikana na Forbes 😂😂😂
Kunyaland hakuna shule ya serikali yenye air-conditioning systems 😂😂😂😂upuzi tu
😂😂😂😂 Tena imerudiwa mara 3😀 😀 😀 Wakenya bhana. Yani siku nzima umejichimbia kuleta hiki?
Upo serious kweli?
Wakenya wenzako hawamtaji Akotheee Kama miongoni mwa wasanii wakubwa hapo Kenya
Akothee anauza Toilet paper za wahindi hapo naipori..Akothee ana miliki nini twende taratibu
Kidogo utapost jengo la njano useme Kenya yote hakuna shule ya serikali yenye majengo ya rangi ya njano. 🤣 🤣Kunyaland hakuna shule ya serikali yenye air-conditioning systems 😂😂😂😂View attachment 2553225
[emoji1787][emoji1787] humu pamejaa wendawazimuKunyaland hakuna shule ya serikali yenye air-conditioning systems [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2553225
Madanga ya Kizungu……si unajua hawa ndugu zetu hawa na wazungu? Sasa hivi kapata danga jipya amelipa jina la kijaluo, analiita Omondi aka Omosh…….huwa yanamzalisha alafu yanasepa, nadhani ndio yanamsaidia kumuweka kwenye Forbes ya mchongo shangazi atambe kidogo, same mchezo Serikali yao inacheza kwenye GDP na data zingine zimewaingia mpaka wananchi wao…….hapa ukimpata Teargas atakwambia yeye ni Mluya tajiri kuliko wote, nenda kwa ground sasa……..au nenda Nairobi mwambie akupeleke kwake ndio utajua hujui😅😅Akothee ana miliki nini twende taratibu
Anamiliki gari gani tuzioneAnakitu gani akothee???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wenzako hawamtaji Akotheee Kama miongoni mwa wasanii wakubwa hapo Kenya
Sikiliza hii research iliyofanywa na wakenya wenzako, sitegemei Kama utarudi Tena.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jibu hoja ili usionekane ww sio mwendawazimu 🤣🤣 huyo mwendawazimu mwenzio alisema aoneshwe theater so theater ni shule au???[emoji1787][emoji1787] humu pamejaa wendawazimu
Anamiliki kipapa kilichozeeka tu bro 🤣🤣🤣