Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio nyimbo kubwa ya akothee .. na ni kubwa kwasababu kuna diamondplatinumz humo ndani, akothee's most streamed and most viewed song in whole her music career. 👇. Teargas pita hapa .. ichoboy01 njoo ushuhudie nikichinja

Unaangalia streams wakati watu wanaongelea pesa. Uko akili Wewe baboon?🤣🤣😂
 
Hakuna data yoyote Forbes wametoa kuhusu wasanii Africa
Basi lala😂😂😂🤣.

1678916086804.png
 
Millard ayo tv 4.5m
Screenshots_2023-03-16-00-40-50.png

Azam tv 2.3m
Screenshots_2023-03-16-00-40-24.png

Wasafi media 3.77m
Screenshots_2023-03-16-00-44-46.png

Hii ndio inayoongoza kenya nzima nimeitafuta KBC hata haionekani kwenye ramani ya dunia 🤣🤣🤣🤣
Citizen tv ke 4.05m
Screenshots_2023-03-16-00-40-03.png
 
Millard ayo tv 4.5m
View attachment 2553144

Azam tv 2.3m
View attachment 2553145

Wasafi media 3.77m
View attachment 2553150

Hii ndio inayoongoza kenya nzima nimeitafuta KBC hata haionekani kwenye ramani ya dunia 🤣🤣🤣🤣
Citizen tv ke 4.05m
View attachment 2553147
Mambo ya Akothee imewashinda sasa umerudi kwa TV? 😂😂🤣🤣 Tukiunganisha subscribers wa YouTube, Twitter, FB na Instagram uko sure mtawezana na TV za Kenya?😂😂🤣🤣
 
Mambo ya Akothee imewashinda sasa umerudi kwa TV? 😂😂🤣🤣 Tukiunganisha subscribers wa YouTube, Twitter, FB na Instagram uko sure mtawezana na TV za Kenya?😂😂🤣🤣
hebu acha nikujibu tu,,
yaani wenzio wanaweka ushahidi jinsi media za bongo zilivyo nawafatiliaji wengi wewe umebaki kubwabwaja tu,et tukiunganisha subscribers wa nyenyenyee na nyenyeee mna uhakika mtawenzana?

hebu acha porojo huko,,we unganisha kwa vitendo tuone kama mtatoboa,acha nikusaidie kwa instagram, clouds TV ina wafuasi 5M alafu hiyo yenu kubwa kuliko zote citizen TV ina 1.9m,Millard ayo ana 12M+ sijui nilinganishe na nini huko kwenye nchi ya washamba na wapiga kelele,bado kuna wasafi TV east africa TV, azam Tv,Tv E,etc ikija kwenye radio ndo usisemee aisee,kiufupi tu kwenye hizi mambo zinazohusu habari washindani wetu wa level yetu kwa africa ni NG na SA tu

kama hutaki kojoa ulale tu mrembo
 
Nonsense. Cloud Tv with only 16k Twitter followers and 250k FB followers ndio unatupigia nayo kelele hapa?😂😂🤣.

Choose one TV station tulinganishe na Citizen.
 
Nonsense. Cloud Tv with only 16k Twitter followers and 250k FB followers ndio unatupigia nayo kelele hapa?😂😂🤣.

Choose one TV station tulinganishe na Citizen.
Twitter huku bongo ni mitandao ya watu wazima, Facebook ni kwaajili ya washamba.. majority Tanzanians tuko Instagram na YouTube .. na huko hatuna mpinzani EA and Central Africa
 
Ona vile Diamond alilia after kushindwa na Akothee, so wewe unajua zaidi kuliko Diamond mwenye aliona hiyo ranking akajaribu kukosoa Forbes?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

View attachment 2553091
Kwenye hio list amboyo diamond alimindi akothee hakuepo basi tuletee mauzo ya mziki, viewers on YouTube na anachaji how much per show tumlinganishe na king platinum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaandamana kushinikiza serikali kupunguza garama ya maisha ndo maana wanabeba sufuria, nini ngumu kuelewa??
Sababu kubwa ya Raila kuipa serikali ya Rutto siku 14 kutimiza matakwa yake la sivyo akutane na " mass action" ni kuhusu kufungua "server s" za uchaguzi, yeye bado hakubaliani na kushindwa kwake, mengine ya gharama za maisha yamejitokeza na anayatumia Kama njia ya kuungwa mkono na wakenya wengi masikini

Sikiliza watu wenye akili, sio ninyi wanuka mavi wa Kiberal

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
We import a lot more than Tanzania.
Our oil import bill alone is more than $1 billion more than Tanzania.

Which tells you there's much less economic activity going on in Tanzania.
you are using too much fossils to make electricity while Tanzania mostly use locally available natural gas, lakini sababu akili hamna hamuwezi elewa
 
Back
Top Bottom