Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Namna ambavyo British imewakalia chapati Wakenya Mungu anajua, babu zenu walipigana MAUMAU bure, your minds are still in colonial chains.
Huyo mkenya ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe, kazidiwa battle anaanza ku praise wazungu, kuona ni kuamini kila mtu kaona humu kwamba Kenya kwenye shule bado sn kujilinganisha na Tz.
 
Zimewekwa shule zaidi ya 200 humu kutoka Tz, lkn wao wanaweka kashule kamoja wanajificha, baadae mtu anaweka tena kashule kale kale, sasa hiyo ni battle au upuuzi.
Tunahesabu shule walizoziweka. Haki ya Mungu wakenya ni waoga kweli. 🤣 🤣 🤣 Na wanajua tumewakalia kooni hawwawezi pumua. Nawasubiri tu wafikishe walau shule kumi na tano. Nifungulie bomba
 
Huyo mkenya ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe, kazidiwa battle anaanza ku praise wazungu, kuona ni kuamini kila mtu kaona humu kwamba Kenya kwenye shule bado sn kujilinganisha na Tz.
Unajua kati ya vitu napenda kwenye hii battle ni fact kwamba kila kitu Wakenya wanachodhani au waliamini wako juu yetu wakileta ubaoni wanapigwa upper cuts za kutosha, tena sio kwa stories bali kwa ushahidi makini kabisa. To be honest kwenye shule hata mimi nimestuka, sikujua Bongo tuna shule kiwango namna hii. Wazee waliopambana na hii battle mmetuheshimisha sana. My dear neighbors, the Giant is awake heading to his mighty sit, mpishe wenyewe au mtolewe kwa nguvu. Kazi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…