Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

334561146_155189494049112_5290372765720371489_n.jpg

334506682_1399052650922118_4925982312464381852_n.jpg
Hili jengo linaharibiwa muonekano na road jua kali zinazolizunguka, mbele yake kuna flyover alafu chini kuna vumbi kama Uganda.
 
IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.

ISK School Fees

View attachment 2548566


Tukiangalia kifedha ISK ndio the most expensive in the region. IST wanalipisha kuliko Brookhouse but ukiangalia value for money, Brookhouse iko mbele zaidi. Hiyo IST iko overpriced. Hapa Kenya hata top 10 haifiki kwa international schools. Hizi shule zimeishinda
1. ISK
2. Braeburn Lavington
3. St. Andrews Turi
4. Peponi School
5. Braeburn Garden Estate
6. Hillcrest
7. Greensteads
8. Rift Valley Academy
9. Rosslyn Academy
10. Nairobi International School
11. Brookhouse
Zwazwa mpk wa leo unalinganisha ubora wa shule na majengo

Alafu hiyo school fees ya ISK umeweka the very recent one ambayo ni $35000, je na sisi tukiweka the recent fees ya IST c utalia humu, pia hiyo IST 3/4 ya wanafunzi wanatoka ulaya na Marekani, sasa jiulize wewe mzungu asimsomeshe mwanaye huko kwao amlete Tz alafu mvuta gundi mmoja wa kibera anakuambia ya kawaida
 
Huyo ndio maana tunamwita zwazwa, hovyo sn huyo jamaa, anakesha kuandika vi article uchwara mitandaoni kuichafua Tanzania
Mm namshangaa anasema IST ina poor quality education. Serious wazungu watoe TSh 78M kulipia shule ambayo ina poor quality education, haiwezekani.
Wakenya siwaelewi, sijui shida ni bangi ila mdogo mdogo wataitambua Tz vizuri
 
Ww Umeshindwa Umebakia Kuchungulia kama Panya Buku kwenye Msitu wa Nguchiro!!
Hii Mada ya Shule Mlikimbia Tokea 2019
Leo Ndio Uweze!!
Hivi Bado hamjabadilika tu na mnavyo Danganywa Kuhusu Tanzania!!
Tanzania ya Sasa Sio Ile
Nimekupea MPESA school alafu unanipostia vumbi tupu unaita ligi. Yani mimi nije na Messi wewe uje na vistriker vyako huko uswazini bado useme umeshinda kisa umeleta vistriker vingi? Mnachekesha sana majamaa. 🤣 🤣 🤣
 
Nimekupea MPESA school alafu unanipostia vumbi tupu unaita ligi. Yani mimi nije na Messi wewe uje na vistriker vyako huko uswazini bado useme umeshinda kisa umeleta vistriker vingi? Mnachekesha sana majamaa. 🤣 🤣 🤣
In maana hapo kenya mpo na shule moja tu inaitwa MPESA? Mzee umechoka sana.
 
Nimekupea MPESA school alafu unanipostia vumbi tupu unaita ligi. Yani mimi nije na Messi wewe uje na vistriker vyako huko uswazini bado useme umeshinda kisa umeleta vistriker vingi? Mnachekesha sana majamaa.
Kuna shule nyingi tu zimepostiwa. Itashangaza kuona unaongelea shule zilezile za vumbi.
Hii hapa ni Nyeri High School, ipo Kenya. Jinsi unavyoongea ni kama hamna shule zenye vumbi huko Kenya.
images%20(68).jpg
 
Mm namshangaa anasema IST ina poor quality education. Serious wazungu watoe TSh 78M kulipia shule ambayo ina poor quality education, haiwezekani.
Wakenya siwaelewi, sijui shida ni bangi ila mdogo mdogo wataitambua Tz vizuri
Sijasema ni poor quality education, nimesema iko chini ukilinganisha na International Schools za Kenya. Mbona mnapenda kugeuza mambo kufit narratives zenu hivi? Mbele ya ISK, IST ni ovyo. Context kijana.
 
Kuna shule nyingi tu zimepostiwa. Itashangaza kuona unaongelea shule zilezile za vumbi.
Hii hapa ni Nyeri High School, ipo Kenya. Jinsi unavyoongea ni kama hamna shule zenye vumbi huko Kenya.View attachment 2548851
Nimesema hapo juu Hadi Kenya kuna shule za vumbi na hata za bati na tope utazipata sehemu nyingine ile kwa sasa we are posting the best. Kama zenu best ni vumbi sasa za kawaida tusemeje? Yani Mimi nipost MPESA School, Alliance High School, Alliance Girls High School, Kenya High School na wewe unipostie vumbi eti hiyo sasa ni ligi kisa umepost nyingi? 🤣🤣
 
Nimesema hapo juu Hadi Kenya kuna shule za vumbi na hata za bati na tope utazipata sehemu nyingine ile kwa sasa we are posting the best. Kama zenu best ni vumbi sasa za kawaida tusemeje? Yani Mimi nipost MPESA School, Alliance High School, Alliance Girls High School, Kenya High School na wewe unipostie vumbi eti hiyo sasa ni ligi kisa umepost nyingi?
Rudi juu uziangalie tena. Kuna shule nyingi sana tulizipost baada ya ww kukimbia. Utaona shule nyingi tu hazina vumbi
Rudi juu uziangalie
 
Back
Top Bottom