IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.
ISK School Fees
View attachment 2548566
Tukiangalia kifedha ISK ndio the most expensive in the region. IST wanalipisha kuliko Brookhouse but ukiangalia value for money, Brookhouse iko mbele zaidi. Hiyo IST iko overpriced. Hapa Kenya hata top 10 haifiki kwa international schools. Hizi shule zimeishinda
1. ISK
2. Braeburn Lavington
3. St. Andrews Turi
4. Peponi School
5. Braeburn Garden Estate
6. Hillcrest
7. Greensteads
8. Rift Valley Academy
9. Rosslyn Academy
10. Nairobi International School
11. Brookhouse