Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama nilivyosema, nilitaka kupost shule za mtu wa kawaida. Ila kwa sababu umeuliza,
wacha niwape snipet of what an international school is supposed to look like muache aibu ndogo ndogo. Nimeona mwengine ameangalia cost ya IST anaona kama ni the highest in Africa. Mwambia agoogle hizi aone anavyojiabisha. Narudia, hiyo IST sii hadhi ya International school hapa Kenya. Hiyo ni normal private school tuu.

Brookhouse School
Brookhouse-School-1.jpg
Brookhouse.jpg

brookhouse-homepage-students-outside-teachers-580x408.jpg
sddefault.jpg
Usipate shida gharama yake hizo hapo chini, fees kubwa kabisa ni Ksh 2,505,000 ambazo ni sawa na Tzs (2,505000×17) = Tzs 42,585,000.

IST gharama zake, fees kubwa kabisa ni $33,300 kama Tzs mil 78. Nyie hamna kitu ni midomo tu mmebarikiwa.

Angalia hapa chini, hizo screenshot mbili za juu ni ada ya hiyo shule yenu ya gharama zaidi huko kwenu na hizo tatu za chini ni ada ya IST.
Screenshot_20230313-103706.jpg
Screenshot_20230313-103752.jpg
Screenshot_20230313-104500.jpg
Screenshot_20230313-104819.jpg
Screenshot_20230313-105041.jpg
 
Wacha nishughulike kiasi. Nitarudi baadae kuwapiga makombora ya shule. Reuben Challe wewe unakaa tofauti kidogo ya wenzako at least unajadili logically. Nitakuja tumalize hili la mashule nawe. Hawa wengine wako ovyo sana wanabishana kama watoto wadogo.
Nilikuwa najua tu utakimbia. Nenda kajichimbie utafute picha. Usiguse kabisa kwenye issue za Education.
 
Hii Braeburn yenu ni kama branch ya Braeburn zenu. Haiwezi gusa Braeburn Lavington, Braeburn Garden City,Braeburn Imani na Braeburn Nanyuki. Ila naweza sema ndio international school ya Bongo yenye inajitahidi at least.
International School of Tanganyika hujaiona au. IST ni nzuri kuliko Braeburn ndio maana ada yake ni very expensive probably than any school in the East Africa
 
Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
Kwenye reycling wanachukua zile clear tu ndio maana wale wakusanya plastic bottles hawachukui Mo au Azam energy bottles. Mo na wenzie inabidi wabuni mbinu ya kukusanya chupa zao.
 
International School of Tanganyika hujaiona au. IST ni nzuri kuliko Braeburn ndio maana ada yake ni very expensive probably than any school in the East Africa
IST ni ovyo sana. Nimeona picha zake humu haiwezi gusa Brookhouse, leave alone ISK. Halafu usiangalie how expensive a school is, angalia quality. Sasa ukilipishwa pesa nyingi ndio shule ni nzuri eti? MPESA School ni free, utasema hizo shule zenu vumbi zimeishinda kisa school fees? Alafu IST chenyewe kishule kidogo. Angalia ISK, St. Andrews Turi, Peponi school alafu uniambie. Halafu Brookhouse is not even the most expensive in Kenya kama ni school fees unataka kuangalia. Nadhani Kenya ISK ndio the most expensive ila kwa quality nikifananisha IST na internation Schools za Kenya hiyo IST bado sana.

ISK School Fees

Screenshot 2023-02-06 200412.jpg



Tukiangalia kifedha ISK ndio the most expensive in the region. IST wanalipisha kuliko Brookhouse but ukiangalia value for money, Brookhouse iko mbele zaidi. Hiyo IST iko overpriced. Hapa Kenya hata top 10 haifiki kwa international schools. Hizi shule zimeishinda
1. ISK
2. Braeburn Lavington
3. St. Andrews Turi
4. Peponi School
5. Braeburn Garden Estate
6. Hillcrest
7. Greensteads
8. Rift Valley Academy
9. Rosslyn Academy
10. Nairobi International School
11. Brookhouse
 
Back
Top Bottom