Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whatever.
Huo utabaki kuwa mtazamo wako kwa sababu hauna ushahidi wowote kuthibitisha unachokiongea.
Wewe tazama picha mlichopost nifananishe na ninachopost ukweli unadhibitika. Hadi wewe mwenyewe unaweza Enda Google maps, fananisha ISK na IST alafu uniambie gani iko juu.
 
Rudi juu uziangalie tena. Kuna shule nyingi sana tulizipost baada ya ww kukimbia. Utaona shule nyingi tu hazina vumbi
Rudi juu uziangalie
Nimeziangalia, kuna zenye nimeona ni poa Ila nyingi ni vumbi. Yani mnaenda na quantity over quality. From my assessment, sector ya shule hamtuwezi - iwe international schools, private schools ama public schools.
 
Iringa International School 🚸

Wakunya wakiona wazungu ndio wanaona hiyo shule ina standards 😂😂😂

images - 2023-03-13T135822.356.jpeg
images - 2023-03-13T135831.689.jpeg
images - 2023-03-13T135847.641.jpeg
images - 2023-03-13T135840.694.jpeg
images - 2023-03-13T135916.459.jpeg
images - 2023-03-13T140036.851.jpeg
images - 2023-03-13T140225.141.jpeg
images - 2023-03-13T135932.675.jpeg
images - 2023-03-13T140248.443.jpeg
images - 2023-03-13T140350.425.jpeg
 
Hivi ukitoa ka Nairobi huko kundustan kuna international School county nyingine? Mana Kenya kila kitu ni Nairobi tu, wameiharibu sn nchi yao hawa jamaa.
 
Nimeziangalia, kuna zenye nimeona ni poa Ila nyingi ni vumbi. Yani mnaenda na quantity over quality. From my assessment, sector ya shule hamtuwezi - iwe international schools, private schools ama public schools.
We jamaa. Hii MPESA yako unaiongea kila wakati 🤣 🤣 🤣

1678706140756.png

Twendeni kwa utaratibu unaofaa, naomba sisi tupost shule za Government pekee kwa secondary schools zen tutahamia kwa primary schools, sisi tupost tu tusieasubiri wao cz pumzi yao ndogo, na hata wasipojibu lkn watakuwa wanaona japo hawatokatiza pua zao
 
Nimeziangalia, kuna zenye nimeona ni poa Ila nyingi ni vumbi. Yani mnaenda na quantity over quality. From my assessment, sector ya shule hamtuwezi - iwe international schools, private schools ama public schools.
Nimezihesabu picha zote tulizopost tangu ulivyokimbia battle
Baada ya hapo tuliendelea tukapost picha 141 na kati ya hizo ni picha 19 tu ndio zilikuwa na vumbi huku picha 122 hazikuwa na vumbi.
Sasa nashangaa wewe unasema nyingi umeona ni vumbi tu.
 
My school 😎, Enzi hiyo nimepiga banda kadhaa hapo na Tuition ya Mchikichini Mbuzi area
Kumbe ulisoma Mchikichini kwa kina Sir Hidden, Moody Physics na Mbuga? Mm pia nilisoma kwa hao mafundi, nilisoma pale Azania Secondary School enzi mwalimu mkuu mzee Kwayu, hana baya mzee yule.
 
Nimezihesabu picha zote tulizopost tangu ulivyokimbia battle
Baada ya hapo tuliendelea tukapost picha 141 na kati ya hizo ni picha 19 tu ndio zilikuwa na vumbi huku picha 122 hazikuwa na vumbi.
Sasa nashangaa wewe unasema nyingi umeona ni vumbi tu.
Sijakimbia battle mkuu, sina wakati wa kupost siku nzima humu. Ikumbukwe niko pekee yangu wakati mpo kama watano hivi. Ila ukiangalia picha zote nilizopost ni shule safi na high quality. Wengine wenu mnapost tu picha kujaza nafasi mkiona sipost eti sasa mmeshinda. At least angalia picha ya shule niliyopost, fananisha na shule ya hadhi same hapo, analyze and make a conclusion. Kwa mfano, ISK na IST - ingia mtandaoni mwenyewe, angalia Google maps sio eti napost ISK alafu mnajaza shule kama 10 vumbi tupu alafu eti hivo mmeshinda na nimekimbia ligi. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom