Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The primary school school I am referring to in this case was founded in 1987. Was Kenya still a colony in 1987?View attachment 2548033
Hvi ww kiswahili ni kigumu au?? Ashakwambia shule nyingi zimejengwa na wazungu waliikua wakitawala na mukaIkuta hzo shule so zenu mulizojenga ziko wapi toka mumepata uhuru?? Anaomba kuona shule za public mulizojenga kwa pesa zenu nyinyi wanuka njaa😆😆😆😆😆
 
Screenshots_2023-03-12-22-48-03.png
Screenshots_2023-03-12-22-49-17.png
 
Kwamba hapa kuna kila kitu na nyumba za kishua?


Kama barabara yenyewe haipo sasa ni kipi inasema kipo? Wacha kunatumia nguvu nyingi kutetea ujinga za uswazi
View attachment 2547947View attachment 2547948View attachment 2547983View attachment 2547984View attachment 2547985View attachment 2547986View attachment 2547988View attachment 2547990
Githurai, an area where 90%
of the houses are apartment blocks, is considered a slum in Nairobi ila sioni nyumba ya mabati hapa and it's well organized than your uswazi hovels above View attachment 2547974View attachment 2547975View attachment 2547976View attachment 2547977View attachment 2547979
Kwamba sisi hatujui ma slums ya Kenya au? Kwamba unadhani upo nairaland au sio, kwamba hatujui makazi yenu over 90% ya wakundustan wa kawaida
 
It is a public school bongolala. It was founded by the missionaries but was later acquired by the government 100%, just like many Catholic schools in Kenya.

Even my own former Primary school was founded by the Missionaries but it's 100% owned by the government
Huyo mwehu achana naye. Post tu ukiona anabisha vitu za ujinga ujinga jua sindano imemuingia - Yani ameona amepigwa so anaanzisha vijisababu. Post zile shule kubwa na umuandikie mwaka wa uanzilishi ndio aumie kabisa. Akwende akaskie vibaya hukooo🤣🤣🤣
 
Ni wapi "data" ya huyo kilaza mwenzako imetaja make Ama origin ya gari?
Kwamba wewe pia unaamini Tanzania kuna magari kuzidi USA na Japan, nchi ambazo zinatengeneza magari?
Huna akili wewe, hizi ni nchi zinazonunua gari nyingi za Japan by numbers, US na UK zipo chini kwasabu hawatumii sn hizo gari, asilimia kubwa ya gari zetu Africa zinatoka Japan na ndio maana ukitumia evidence hii ni dhahiri kwamba Tz kuna magari mengi kuliko shit hole yenu mnayoiita nchi.
tapatalk_-1191001302_297x670.jpg
 
Wakuu hii brt phase 2 aisee nayo itakuja kuchange kabisa taswira ya mji,
Mwanzo niliiona mbaya ila kadri inavyoelekea kuishia ndipo inapozidi kutake good shape,nilipita chang'ombe flyover mataa ya kuelekea karume naona wamechimba ili njia ya SGR ya mizigo ipite chini kisha gari ziendelee kupita juu kama kawaida,nikioita kwa utulivu nitapiga picha
 
Naanza kupata mashaka kama serikali ya Kenya huwa inajenga shule mana 100% ya shule zote wanazoonesha ni za mkoloni, kama Kenya isingetawaliwa wallahi hii nchi ingekuwa ya mazombie kweli kweli, hawajengi chochote kwa pesa yao, kila kitu wanajengewa mpk leo, chakula cha msaada na bado serikali inakusanya kodi, lkn mazombie ya kikenya humu yanashangilia tu.
 
Back
Top Bottom