Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Since TZ 'is now financially stable', can they come for their beggars who are in every corner of our streets. They make tourist visiting our country think Kenya is a begging nation
Matatizo yenu huwa hamuyakubali hadi ombaomba wenu munawakataa.. wenyew mnapenda sifa tu

Ombaomba gani ana nauli ya kuja Nairobi?
 
Since TZ 'is now financially stable', can they come for their beggars who are in every corner of our streets. They make tourist visiting our country think Kenya is a begging nation
Aliekwambia ni beggers from tanzania ni nani?? Na mbona hamuwarudishi kwao kama ni watanzania kweli?? Au unafkiri dunia hii mutadanganya nini? Sio nyie mulikua mukiipaka mavi tanzania kila kibaya kikaonekana cha tanzania sio nyinyi haya leo yakwap??🤣🤣🤣🤣
 
Waziri wao anasema dollar shortage is out of control Sasa hii si ni balaa? Wakicheza vibaya pesa Yao itaporomoka na njia pekee ya haraka ni kupigia magoti imf nk Ili wapate mkopo wa emergency
Mkopo wanaweza kuupata lakini ukaishia mifukoni mwa wanasiasa wao, shida itabaki kwa wananchi. Hii inchi janga kweli kweli
 
Uchumi sio bia kwamba unakunywa harafu inaenda kutokea kuwa mkojo..

Moja ya mambo yaliyomcost Ruto ni kuanza kufanya mageuzi ya haraka haraka kwenye uchumi,kitu wafanyabiashara Huwa wako sensitive nacho ni sera zisizotabirika wakitilia shaka kidogo tuu umekwenda na maji..

Pili kesi ya Chakula Ina wamala sana,kila.siku nawashauri humu waje Tanzania qaingie makubaliano ya mda mrefu na Serikali yetu Ili wawe na guarantee quantity ya Chakula Cha bei nafuu kwetu Sasa wao wanaona kama tutafaidi Sasa ngoja wanyolewe kwanza ndio akili zitakuja..

Mwisho mfumo ubebari sio wa kuuamini Moja kwa.moja kwenye management ya Uchumi,hamjifunzi Kuporomoka Kwa mabenki na soko la nyumba kule Marekani?

Sasa hapo.kinachofuata ni kuanguka Kwa shilingi ya Kenya
Tatizo la hawa hawaaminiki hata kidogo wanaweza kuingia makubaliano na Tanzania ila siku itokee waone fursa kwingine wanahepa haraka sana as if hakukuwa na makubaliano ya awali. Wacha wakule jeuri wametufitinisha sana.
 
Wakubwa
Richest-People-in-Africa_March5.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Since TZ 'is now financially stable', can they come for their beggars who are in every corner of our streets. They make tourist visiting our country think Kenya is a begging nation
Hakuna mtanzania aliepo Kenya barabarani, watoto wetu mliokua mkiwafanyia human trafficking tulishawarudisha wote Tanzania
FWRe9gyXgAA2Vxt.jpg
Screenshot_20221215-170538.png
 
Someni "comments" za wakenya hapo chini, wanaukubali mziki wa Tanzania


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wale mlioanzisha shule hua mnasession za kupanda miti,kukata vichaka na kulima uwanja nk...alafu kuna wale wanakuja tu kumwagilia maua na kuingia darasani...
JPM alianzia pagumu sana Huyu sahivi anamwagilia Maua tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
walisemaga kilimo ni kazi ya kijima wao huko walishatoka wapo kwenye services economy kwahiyo sisi tulime tu wao na pesa zao watakuja kununua 😂😂😂😂 sijui service economy imekwamia wapi? 😂😂😂😂
Kama makamu wa rais anaiba 1.5b kwa ajili ya kumfungulia ofisi mke wake na kumnunulia gari unategemea nini 🤣🤣🤣

1.5b ksh ni sawa tsh over 2.7b just imagine hio ni ofisi ya mke wake tu 😆😆
 
Back
Top Bottom