Good stepWatu wanalalamika kupanda zile overpass keahyo wanataka barabara za chini ya ardhi kuvuka barabara,Ndio Tanroad wamesema litafanyiwa kazi soon
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Kwanini uchumi wa Kenya unaanguka kwa kasi kubwa namna hii? Hata hivyo tupeane tafu sisi wote ni watu wa jamii moja.Now 17jana ilikua 18
Picha kama hii usipoambiwa ipo wapi huwezi kujua kama ni Tanzania utasema ni nchi za first World. We are stepping forward very fast.










Ni matokeo ya yale waliokua wakidanganya dunia kua wana GDP kubwa ili kuonekana kwa watu kumbe ndani ya pazia wana hali mbaya sanaKwanini uchumi wa Kenya unaanguka kwa kasi kubwa namna hii? Hata hivyo tupeane tafu sisi wote ni watu wa jamii moja.
Daah inasikitisha sana kwakweli, ila tusiwacheke tuwasaidie.Ni matokeo ya yale waliokua wakidanganya dunia kua wana GDP kubwa ili kuonekana kwa watu kumbe ndani ya pazia wana hali mbaya sana
Nitakupa mfano mmoja mdogo tu
Kq inaendesha hasara ya mabillion ya pesa over 10 yrs na hasara ile inatokana zaidi na leasing aircrafts cha ajabu ni kwamba pamoja wanaendesha hasara still inabidi watafute pesa za mkopo kulipa madeni ya kq ya leasing deals kwa takriban zaidi ya miaka 10 sasa hebu chukua hesabu ya haraka haraka kua watakua wamekopa pesa ngapi kulipa madeni yasioweza kurudisha pesa za mkopo ambayo itabidi tena watumie pesa za maendeleo kulipa madeni au wachukue tena loan from peter to pay juma![]()
Hao ni vichwa maji sana, wanadharau Kila mtu na kujiona wao ni zaidi Sana, endelea na kazi zako, achana nao hao watu.Daah inasikitisha sana kwakweli, ila tusiwacheke tuwasaidie.
Hamna anaejishuku. Hizi ni vita tu za kisiasa kama kawaidaHivi kwani Mama alimtaja mtu au alisema majirani?Kwanini wanajistukia?
yyaaaaaaaaaaaaaaawwwwwwwwwwwwwwnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn..........!!!!!!!
Our middle class vs theirs.....Unaweza linganisha Mbagala na Buruburu eti? jina pekee lina sound la kifukara eti Mbagala 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2245859
View attachment 2245860
VS
Mbagala kwa karibu👇👇😂😂😂😂😂
View attachment 2245870
Hehe...watasema unawasingiziaWhichever way you want to look at it bongolala, we are just worlds apart.
This is a zoomed in image of a residential area in Dar View attachment 2246038
Below are zoomed out images of different residential areas in Nairobi, some covering more than one estate.
View attachment 2246040View attachment 2246041View attachment 2246042View attachment 2246043View attachment 2246044
The difference is like black and white!
Wakenya walikua wanataka tufe wote tuishe kipindi cha covid walikua wanafake video za mazishi tuonekane Watanzania tunakufa kisa hakukuwa na lock down na curfew, huwajui wakenya weweKwanini uchumi wa Kenya unaanguka kwa kasi kubwa namna hii? Hata hivyo tupeane tafu sisi wote ni watu wa jamii moja.
Ni jambo la kusikitisha sana kwakweli kwanini umuombee binadamu mwenzio kifo.Wakenya walikua wanataka tufe wote tuishe kipindi cha covid walikua wanafake video za mazishi tuonekane Watanzania tunakufa kisa hakukuwa na lock down na curfew, huwajui wakenya wewe