Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kuwauzia gas tuwauzie umeme tuu.
Gas Ina uhakika wa pesa,umeme ndio mpaka kuwe na shortage na kwenye umeme nimeona wako na plan za kuongeza geothermal so soko la umeme sio sustainable..

Hadi Zim kule wanasema mto Zambezi ule una potential ya kuzalisha umeme megawatt 180,000 na wameanza Mpango wa Ujenzi wa bwawa jingine ukiacha Kariba Kwa hiyo in long run umeme hautakuwa na soko la uhakika.
 
Power blackout due to system disturbance [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aki nimecheka sana hawa jamaa wanavyoongopewa. Dollar ya kununua mafuta ya kuendesha mitambo hakuna. Period.


Sisi nye nye nye tunazalisha umeme wakutosha labda umeme wakupika kwenye makaratasi 🤣🤣🤣 haya ndio madhara yabkupenda sifa za uongo ona leo dunua inavowavua chupi bila huruma
 
Kundustan wamekimbia wote 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃wanachungulia na kutoka wakirudi ni vipicha vya express way na vi ghorofa vinavyo anguka kila siku ila wakurungwa punguzeni🔧🔧🔧🔧🔧🔧🔧🔧wana warudi tujadiliane msituogope au mmechukua chimbo kutafuta dollar 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii ni aibu kubwa sana kwao leo hii walikua hapa busy kujisifia na kuongopea watu GDP inayonuka moshi leo hii dunia tena inastaajabu kuona wanadondokea pua waliokua na GDP kubwa ambayo kiuhalisia sio kweli 🤣🤣🤣🤣 ndio maana mm napenda kuwaambia badilikeni dunia ishafika mbali sana yale mambo ya kudanganya watu kwa sifa za uongo zilishapitwa na wakat
 
Ruvuma tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
20230310_064033.jpg
20230310_064035.jpg
20230310_064037.jpg
20230310_064039.jpg
 
Power blackout due to system disturbance [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aki nimecheka sana hawa jamaa wanavyoongopewa. Dollar ya kununua mafuta ya kuendesha mitambo hakuna. Period.


Hii ndio inabamba sasa 😂😂😂😂 lazima akili ziwakae, wafake umeme kama wanavyofake statistics
 
Since TZ 'is now financially stable', can they come for their beggars who are in every corner of our streets. They make tourist visiting our country think Kenya is a begging nation
 
20230310_082219.jpg

20230310_082213.jpg
Patch of KDF's Army Special Operations Brigade (ASOB)

The skull and crossbones imposed on the flag instead of the shield and spear seems to be the most widespread patch
20230310_082143.jpg
among Kenyan special forces.
 
Who has the official insignia for the Elite squad, Recce Company?
I think both of these are
20230310_084721.jpg
20230310_084833.jpg
20230310_084851.jpg
 
Back
Top Bottom