Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kakudanganya huu mchezo hautakaa uishe Kenya halafu sisi Tanzania tuna accountability kubwa sana kwa public finance hela inayopigwa ni ndogo sana compared na yenu.
 
Acha uongo wewe usisingizie global recession kwani sisi Tz na nchi nyingine zinazowazunguka tunaishi Mars?

Matatizo ya Kenya have been long in the making na most of them ni ya kujitakia.

Under investment kwenye productive sectors, corruption, maladministration, kukalia politiki tuu asubuhi mpaka jioni, black economy and data cooking kwa uchumi.

Ukiwa na hivi vyote once exposed to global economic turbulence you find yourself in a very precarious situation as is in the case now.
 
"Hatuna nchi" yet you be following our news so much, I even get our news from you... even I hardly watch TV News, last time I did was last year...
Kwasababu ninashangaa Sana jinsi mnavyoishi maisha ya hovyo huko kwenu. Kabla sijajiunga JF, nilikua sijui lolote kuhusu Kenya, lakini baada ya kuanza kuifuatilia ndivyo ninavyozidi kuwashangaa, Yani Kila siku ninaona mambo mapya ya hovyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kariokoo ni sehemu ya CBD yenu, yaani extension mzee..., nikama Nairobi CBD na downtown ama Ngara.., so hamna lolote nyie...., Dar CBD ni moja tu, kwisha..., na appartments ama maghorofa za waarabu😆😆😆😆😆
These guys still counting the ugly overcrowded kariakoo as their cbd area.....an overrated umoja innercore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…