Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Residential and Industrial zones.
🤣🤣🤣👇👇👇
Hzo tatu ziko almost same area from CBD to westland 3km from CBD to upperhill 3km hapa unajisifia kitu gani??? 🤣🤣🤣🤣

Ndio maana nikamwambia yule kondoo kua ukitoa CBD upperhill na westland nairobi kunabaki nini???
 
Hutaki kuskia ukweli, hii haiwezi kua commercial zone bana. Be serious.

Image
🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20230307-140908.png
Screenshot_20230307-140842.png
Screenshot_20230307-140816.png
Screenshot_20230307-140808.png
 
Residential zone. Yani kumejengwa kama zile shopping center za ushago, maduka ziko kando ya barabara ju the surrounding area haina barabara za lami so center ina expand ikifwata barabara ya lami. 🤣 🤣 🤣
Unaongea kwa kujiamini kabisa. Ushawahi kufika hapo? Nani kakwambia hapo surrounding areas hakuna lami?
Unajua buildings ambazo zipo kwenye hio stretch?
 
Hayo ni maoni yako, the last time I checked Africa has over 1 billion people and none of them asked you to speak on their behalf. Your perception is not reality.
Watu wanavyokudhania ni jambo muhimu Sana duniani, Kama hukubaliki kwa jamii, itakua ngumu Sana kufanikiwa.

Muhimu ni kwamba, jamii ya Afrika haiwakubali wakenya kwasababu ya mdomo wemu na kupenda kujikweza, badilikeni tafadhali Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
You've explained it very well but as always hawa majirani zetu ni madwanzi. He won't understand anything. Kazi yao ni kelele tu
Hakuna mtu yeyote duniani atakayeweza kumsikiliza mtu ambaye hana uwezo wa kujitafutia chakula. Yaani hata wanyama wanawazidi akili?. Aibu Karne ya watu wanajiandaa kwenda Mars. Ninyi bado mnasumbuka na kutafuta chakula, na bado unataka watu wakusikilize.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hzo tatu ziko almost same area from CBD to westland 3km from CBD to upperhill 3km hapa unajisifia kitu gani??? 🤣🤣🤣🤣

Ndio maana nikamwambia yule kondoo kua ukitoa CBD upperhill na westland nairobi kunabaki nini???
Unajua ukubwa wa hizo area kweli, Dar CBD + Kariakoo + Golf club inatoshana na Nairobi CBD pekee. Sasa unataka tuongezee hadi Upper Hill + Westlands tuonee.

1678221677489.png

1678221717696.png
 
Wacha kuongea uongo we kondoo.. hiyo CBD yenu haiwezani ukubwa na Posta alone
Kwa hivyo google inadanganya? 🤣 🤣 🤣 🤣 Baba Levo si alikuja Nairobi akajionea, wewe niko sure hujawai fika Nairobi.
 
Back
Top Bottom