Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FqhoAXdWAAE4pcL
 
Hii wanapita wima ni kama hawajaiona. if you listen carefully, you'll realize the tone of that politician. So full of hatred towards Kenya
Kuna yule wenu alisema kabisa tuwafukuze Watanzania Nairobi, alafu bado unataka kutufundisha nani anamchukia nani?
 
Kenya ni nchi ya hovyo sana hawana secret service? kabla ya kufanya intervention ya aina yoyote walitakiwa wawe na taarifa zote za bandits na hapo ni kutuma undercovers wa kutosha kukusanya information, TISS ipo mpaka kwa wamaasai, wakulima, bodaboda, wauza mboga, Tanzania imenufaika pakubwa sana na security formations za kisoviet ndio maana Nyerere alikua anashtukia coup d'etat hata kabla hawajaanza mipango.
Umesema ukweli mkuu, hawa jamaa huwa wanakurupuka tu, ndio sababu miradi mingi inaishia njiani na Ile inayokamilika inabaki kuwa "white elephants"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Eti Wana jamvi .. nini maoni yenu kuhusu hatua hii iliyofikiwa na serikali.? 👇.
 
Hii sheria ya Raisi wa nchi akistaafu kujengewa nyumba ya makazi, kama alivyofanya JPM kwa kikwete na Mwinyi .. Je mjane wa JPM na yeye ataambulia chochote.? Wajuaji wa mambo mnijuze mdogo enu.. nyumba alizojenga JPM kwa watangulizi wake so far 👇 Nyumba ya Mwinyi
EknkK6EXEAA_RM2(0).jpg
WhatsApp-Image-2020-10-18-at-1.21.20-PM.jpeg
Nyumba ya kikwete 👇.
 
Back
Top Bottom