Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperhill
download%20(11).jpg
IMG_170320_5323.jpg
IMG_170314_5323.jpg
IMG_091808_5323.jpg
 
Huku TZ Taifa gas ni cha mtoto kwa kina oryx, lake gas na wengine.
Wacha kuropoka! Hao Oryx na Lakegas wana capacity gani? Hamna mwenye 30 mln liters gas storage capacity! As a matter of fact the whole region hakuna! Wacheni kumu-undermine Taifa gas! Ni muziki mwingine tunaojua hii sector tunajua muscles zake! Halafu wana tanker binafsi!
 
Huyu kasema uhalisia

Mnaona mlivyo wajinga, huyu mlevi anachochea chuki ya kibiashara kati ya Kenya na Tanzania, ila kwasababu anasema Kenya imeizidi TZ kwa GDP kwenu mnamfurahia.

Sasa kunashida gani hicho kivuko kuja kutengenezwa Kenya Kama Kuna kampuni ambalo liko na vigezo na limetoa bei ya chini kuliko mengine, hivi hajui kwamba tulitangaza tender ya wazi kwa Dunia nzima?, Mbona wachina Kila siku wanapewa kazi lakini hapigi kelele, au anataka Tanzania isitoe KAZI kwa makampuni ya Kenya?.

Huyu ni mlevi Sana, alikua waziri wa Magufuli akaingia bungeni akiwa amelewa, akafukuzwa kazi na Magufuli, kumbe Magufuli hakukosea, bure kabisa hili jamaa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mnaona mlivyo wajinga, huyu mlevi anachochea chuki ya kibiashara kati ya Kenya na Tanzania, ila kwasababu anasema Kenya imeizidi TZ kwa GDP kwenu mnamfurahia.

Sasa kunashida gani hicho kivuko kuja kutengenezwa Kenya Kama Kuna kampuni ambalo liko na vigezo na limetoa bei ya chini kuliko mengine, hivi hajui kwamba tulitangaza tender ya wazi kwa Dunia nzima?, Mbona wachina Kila siku wanapewa kazi lakini hapigi kelele, au anataka Tanzania isitoe KAZI kwa makampuni ya Kenya?.

Huyu ni mlevi Sana, alikua waziri wa Magufuli akaingia bungeni akiwa amelewa, akafukuzwa kati na Magufuli, kumbe Magufuli hakukosea, bure kabisa hili jamaa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Already Watanzania wengi wana chuki dhidi ya Kenya wewe ukiwa mmoja wao. Hilo tunajua bali hapa tunaongelea ukweli aliosema ambao wengine wenu hamtaki kuuskia.
 
Wacha kuropoka! Hao Oryx na Lakegas wana capacity gani? Hamna mwenye 30 mln liters gas storage capacity! As a matter of fact the whole region hakuna! Wacheni kumu-undermine Taifa gas! Ni muziki mwingine tunaojua hii sector tunajua muscles zake! Halafu wana tanker binafsi!
Sasa unataka kusema Taifa gas kamzidi Oryx gas kwa market share? Saa ingine usidandie mjadala bila kuelewa kilichoandikwa kwanza. Oryx ana command almost 50% ya gas market in Tanzania hivyo Taifa gas ni cha mtoto kwa Oryx gas.
 
Back
Top Bottom