ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Does Atcl fly to france, imagine KQ doesItakua na destinations 2 Tanzania wakati kunyaland that's impossible View attachment 2531986
Haujui otherwise ungejua role ya kenya dairy board wewe chupiWw unaniletea majina hata hayaeleweki au unafkiri mm kenya siijui au??umesahau kama mm nawajua mpaka chupi zenu ??


Dah haya maajabu ya karne



Milk products kenya huwezani nazo ichogal huku si tanga fresh, hujawaii skia Daima, delamere, ilara, bio foods, jolly fresh, dairyland, lyons maid,cream bell,tuzo, fresha,kinangop dairy,eldoville, laki lakiWw unataka kuniambia apart from giant companies in kenya kama brookside, KCC, na kampuni hzi kuna kampuni ganiww unaniletea kampuni za vichochoroni unaita kampuni try to be serious
hujui kitu ni wivu na mdomo umejaza kam mswahili tuAsante kwa kuwaambia ukweli, dar kwanza yoghurt kupata ni shida kabisaKampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..
Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
LPG usage in Tanzania vs KenyaHuwa siongei vitu ambavyo Sina uhakika navyo.(26.3 + 63.7=90
View attachment 2531682![]()
Nishati safi ya kupikia kunusuru maisha ya watu 33,000 kila mwaka Tanzania | Jiko Point
Ni wale wanaovuta sumu inayotokana na matumizi ya kuni na mkaa wakati wa kupikia.jikopoint.co.tz
Yoghurt za maana ni Asas tuu wengine hao ni wababaishajiAsante kwa kuwaambia ukweli, dar kwanza yoghurt kupata ni shida kabisa
Ukiacha mbali cable amabyo anadai hazizidi kaya laki 8 siku hzi watu wengi wanatumia apple tv na aina zingine kama hzo kuna visimbuzi vya canal vya ufaransa watu wengi sana wanatumia kwa ajili ya soka la uingireza na ulaya kwa ujumla hilo yeye halijui 😆😆😆😆 ndio maanaa unaambiwa siku zote ukiwa hujui jambo uliza kwanza
Kaka huyo jamaa kwao ni mtwara na anaishi huko huko porini hajui chochote kinachoendelea yupo yupo tu .. huyo ni shamba boiHehe eti umeona kwenye list kwan canal ni kampuni imesajiliwa tanzania mpaka TRCA wawe na record 😆😆😆😆 canal decoder zimejaa kibao kwa ajili ya mipira ya ulaya
Na hapo bado arabsat dish hata watu kibao wanazo
View attachment 2531809View attachment 2531810
Sorry that was before brexit.Kwani Uingereza ipo katika EPA?
Hivi asiyekuwa na kisimbusi na asiye na chakula nani maskini zaidi hapo embu nisaidieni uelewa kidogo.Idadi ya watu na visimbuzi inahusiana Kwa sababu Utajua idadi ya Kaya vs idadi ya visimbuzi.
Kwa wastani Kila kaya Ina watu 4.2 hivi ambako Kuna kaya kama mil.15 hivi ambapo Kati ya hizo kaya ni watu chini ya mil.4 ndio wanamiliki visimbuzi.
Mpaka hapo unapata unajua kiashiria Cha kiwango Cha umaskini.
🤣🤣🤣🤣 We jamaa kidogo nikutukane tusi kubwa bahati yako humu kuna sheria.. unaijua Tanga fresh wewe.?Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..
Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
🤣🤣🤣🤣 We jamaa kidogo nikutukane tusi kubwa bahati yako humu kuna sheria.. unaijua Tanga fresh wewe.?
Hiyo ni animal transhipment port.Lamu bado inaendelea kufuga ngamia na punda
Kampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..
Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.
Kungekua na option ya "romove" ningeshamremove akanywe kahawa uko na village dwellers wenzake hapo Tandahimba 👇Huyo ni chizi inawezekana hivo hajui hata anachokiongea
Still it makes loses every minute due to poor planning of routes. I am sure 200% it goes there empty.Does Atcl fly to france, imagine KQ does
Kaka huyo jamaa kwao ni mtwara na anaishi huko huko porini hajui chochote kinachoendelea yupo yupo tu .. huyo ni shamba boi
Atatueleza nini sisi watoto wa mjini wenye exposure ya majiji yote makuu hapa Tz pamoja na huko porini kwao.?
I think ni bora tumtemege tu
Inawezekana hajui kama daladala vile (vipanya) haviruhusiwi kufika mjini
Au
Butcheries zote mjini zote zinakata nyama kwa mashine
Tanga fresh is a big company and so is Kilimanjaro milkKampuni nyingi ni ndogo ndogo tuu,kubwa ni kama Dar fresh,Azam diary ,Asas diary ila Kuna utitiri wa vikampuni..
Supermarkets nyingi za zimejaa maziwa ya kampuni za Wakunya Kwa sababu za kwetu hazina uwezo wa ku feed soko letu.