Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehe eti umeona kwenye list kwan canal ni kampuni imesajiliwa tanzania mpaka TRCA wawe na record 😆😆😆😆 canal decoder zimejaa kibao kwa ajili ya mipira ya ulaya
Na hapo bado arabsat dish hata watu kibao wanazo
images - 2023-02-27T175318.658.jpeg
Screenshot_20230227-175236.png
 
Wauza chipsi wenyewe wanapikia Gesi na umeme. Huyo mwamba ni shamba boi
Shida ninayoiona ni watu wa takwimu Tz ni wazembe sn, huwa wanaweka takwimu ambazo kiuhalisia sio kweli, siku hizi watu wengi wanatumia mitungi ya gesi hata wauza chips wengi wao wameshaona ni hasara kupikia mkaa, kwanza mkaa wenyewe kuupata cku hz ni kama dawa za kulevya haupatikani hovyo, hiyo ni kwa huku mijini. Lakini cku hz hata vijijini wameanza kupikia kwa gesi mana kiukweli mtungi wa gesi ukinunua unakaa kwa mda mrefu sn hivyo una save pesa nyingi.
 
Gas ni nafuu kuliko mkaa especially kama hauna family kubwa...unapika haraka alafu unyamwezi hakuna kuchafuka wala nn

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Lamu bado inaendelea kufuga ngamia na punda

Naona kwenye tweet watu wanauliza imeisha nini? Jibu Imeleta mbolea kwenda Congo. Hatua nzuri sana,pongezi kwa Serikali mita 300 si mchezo, zitaanza kuja tena na tena kubwa zaidi ya hii yenye mita 150.

Huku meli, kule ndege, huko SGR na Kusini MGR,Tanzania is untouchable
 
Kuna mjinga mmoja alisema SGR haitarudisha pesa, sasa jiulize meli yote hiyo mzigo wote unaenda DRC na bado huo ni mzigo mdogo tu katika shehena zake, tani 6900 ni trips 276 za malori biashara nzuri kwa haulers lakini SGR ikikamilika mzigo wote huo utaenda DRC kwa siku 1 na bado nafasi ya Tani 3100 inabaki
 
Mm niliwaambia hapa wakaja juu wakanichukia nilisema lamu ni white elephant tena mchana kweupe na wanauchumi wao wote walitabiri hilo 😆😆 sasa wajiandae madeni ya mchina kaaah

Conman wao anawapanga eti amewapandisha ndege mawaziri wake walete mizigo lamu kutokea ulaya 😂😂😂 investment yoyote inayoeleweka hujitangaza yenyewe na automatically huleta wateja hata kabla ya kukamilika yani demand unaiona kabisa hata mradi haujaanza

Ni sawa kama unajenga apartments mahali kuanzia unachimba msingi mpaka unafanya finishing hujawahi kuona dalalali wala mtu akiuliza kuhusu apartments zako kama zipo full au vipi wewe fanya issue nyingine tu sababu hiyo ni hasara tayari 😂😂

Katoka kwenye visimbuzi kaingia kwenye maziwa sasa na hana taarifa kua tanzania kuna kampuni nyingi za maziwa kuliko kenya hilo halijui na ajiulize kuna kampuni gani ya maziwa kenya inuza maziwa tanzania akutajie moja tu

Na hajui kaya maana yake familia na familia za kitanzania average ni 5 to 10 people so achukue visimbuzi tajwa hapo atafute average kwa watu wangap na jibu atalipata mbona ama kweli hesabu ni mwanaukome
https://www.kdb.go.ke/milk-producers-groups/

Za kenya ndio hizo over 100 weka za tanzania tuone mr.clueless
 
Back
Top Bottom