Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una takwimu hapo we kondoo wa Kijijini ntwara.? Unavyopost post ujinga kutokea huko porini kwenu unatakiwa ujue kuwa kuna watu tumeshaishi karibu kila mkoa wa hii Tanzania
🤪🤪🤪🤪
Kukimbia ukweli hakutakusaidia wewe mbumbumbu..

Hata ungeishi Kila Kijiji ila ukweli ni kwamba watu mil.62 kaya chini ya mil.4 ndio Zina visimbuzi,ishara ya umaskini

Ndo utajuwa uchumi wa makaratasi
Tuliwaletea report hapa za IMF na WB wakisema Kenyan currency is overvalued by more than 30% and somehow managed wakabisha sana. Sasa leo reality ime catch up nao vibaya mno. Shiling dropping from 99 shs to the dollar wakati wa hizo reports mpaka 137 as we speak which is more than 30% devaluation and we dont expect it to hit the trough soon.

Dollar inflow za ku manage the currency hakuna it is free floating like other currencies.
 
Hii kitaalamu inaitwajwe 🤣

Fp9KSLDXoAAUg6s.jpeg
 
🤪🤪🤪🤪
Kukimbia ukweli hakutakusaidia wewe mbumbumbu..

Hata ungeishi Kila Kijiji ila ukweli ni kwamba watu mil.62 kaya chini ya mil.4 ndio Zina visimbuzi,ishara ya umaskini

Kwahiyo Kuwa Na kisimbuzi ndio Utajiri?
Kwanza Unapaswa Ujue kuna Baadh ya watu Wanatumia Cable Hasa Mijini
Mwanza,Dodom,Tabora wengi wanatumia Cable.
Kingine Umepiga hesabu Kivipi Kusema Watu 62m wanao tumia Kisimbuzi ni 4m!!
Yaani Umejumlisha Watoto /Familia Nzima kwa 4m ?
Mimi nawatoto 2, Mfanya kazi wandani,Mke Jumla 5
Ulitaka tuwe na Visimbuzi 5
Ili Tuonekane si Fukara eti!?
Kwenye hao watu 64m Kuna familia zina watu 5-10
 
Acha ujinga,sensa inaeleza idadi ya kaya.
Kumiliki Visimbuzi ni kiashiria Cha mtu mwenye maisha ya unafuu na hayuko kwenye umaskini.
 
Back
Top Bottom