The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Dodoma achana nayo itakuuwa kwa pressureA very useless place to live










Dodoma achana nayo itakuuwa kwa pressureA very useless place to live










Kwani Uingereza ipo katika EPA?Inategemea na mikataba ya nchi husika yaani bilateral agreement kati ya Uganda na Uk au EPA.
Any sane business man will utilize opportunities availed to him through those agreement so that he can take his products to the market.
Tanzania refused to sign in to EPA and we have graduated from poor country status to LMIC. Sasa yale mambo ya ku export everything but arms hakuna tena.
Mimi ninapokaa hata sehemu mkaa unauzwa sipajui.ishu ni kwamba hakuna sehemu unauzwa. Siku hizi kama unatumia mkaa hata kuupata kwake itakiwa ni shida kidogo.Wewe kweli ni mleviwe unauzungumzia Tz ya miaka gani.?.. juzi kati tu Mwanangu alisimamia kazi ya sales ya hii taifa Gas ambapo mtungi mdogo uliokwisha jazwa uliuzwa 33000 .. mpaka mamikoa ya simiyu uko na walifanya vizuri .
Just to let you know Gesi inatumika karibu kila nyumba kwasasa .. unless wewe unaeishi interior uko porini
Babu hesabu ya vitu kama hivi huwezi oanisha na population moja kwa moja. Nyumba moja ina wastani wa watu sita.Hizo takwimu hapo sio zangu ni za Wizara ya afya na nishati.
Refer siku wanazindua Mpango wa Nishati safi ndipo waliotoa hizo takwimu..
Kama Nchi yenye watu mil.62 lakini wenye visimbuzi ni chini ya mil.5 hapo wewe unaonaje? Ndio wataweza mtungi wa gas?
Hata za Majumba unaweza kuta jengo lina floor kadhaa au nyumba ina vyumba kibao na wapangaji rundo 😎Babu hesabu ya vitu kama hivi huwezi oanisha na population moja kwa moja. Nyumba moja ina wastani wa watu sita.
Baba,mama, watoto wa wili na dada wa kazi labda na bibi
Sasa kila mtu awe na mtungi wake wa gesi? Kila mtu awe na king'amuzi chake??
Tuzichanganue vizuri hizi katwiku. Ulitakiwa kutumia takwimu za sensa ya majumba!
Wauza chipsi wenyewe wanapikia Gesi na umeme. Huyo mwamba ni shamba boiMimi ninapokaa hata sehemu mkaa unauzwa sipajui.ishu ni kwamba hakuna sehemu unauzwa. Siku hizi kama unatumia mkaa hata kuupata kwake itakiwa ni shida kidogo.
Mpaka December itakuwa 15 hii! Yajayo yanafurahisha



Idadi ya watu na visimbuzi inahusiana Kwa sababu Utajua idadi ya Kaya vs idadi ya visimbuzi.Babu hesabu ya vitu kama hivi huwezi oanisha na population moja kwa moja. Nyumba moja ina wastani wa watu sita.
Baba,mama, watoto wa wili na dada wa kazi labda na bibi
Sasa kila mtu awe na mtungi wake wa gesi? Kila mtu awe na king'amuzi chake??
Tuzichanganue vizuri hizi katwiku. Ulitakiwa kutumia takwimu za sensa ya majumba!
Sasa Ujinga anao Nani mm wwAcha ujinga,sensa inaeleza idadi ya kaya.
Kumiliki Visimbuzi ni kiashiria Cha mtu mwenye maisha ya unafuu na hayuko kwenye umaskini.
🤣🤣🤣 Wewe ni mlevi ... watu 4 .2 🤣🤣Idadi ya watu na visimbuzi inahusiana Kwa sababu Utajua idadi ya Kaya vs idadi ya visimbuzi.
Kwa wastani Kila kaya Ina watu 4.2 hivi ambako Kuna kaya kama mil.15 hivi ambapo Kati ya hizo kaya ni watu chini ya mil.4 ndio wanamiliki visimbuzi.
Mpaka hapo unapata unajua kiashiria Cha kiwango Cha umaskini.
Hapo umetumia hesabu nzuri sasa, ila kwa upande wangu bado sioni kama ni umasikini. Mimi naona kama ni fursa!Idadi ya watu na visimbuzi inahusiana Kwa sababu Utajua idadi ya Kaya vs idadi ya visimbuzi.
Kwa wastani Kila kaya Ina watu 4.2 hivi ambako Kuna kaya kama mil.15 hivi ambapo Kati ya hizo kaya ni watu chini ya mil.4 ndio wanamiliki visimbuzi.
Mpaka hapo unapata unajua kiashiria Cha kiwango Cha umaskini.
Ni fursa Kwa upande mmja ila sio fursa Kwa upande mwingine.Hapo umetumia hesabu nzuri sasa, ila kwa upande wangu bado sioni kama ni umasikini. Mimi naona kama ni fursa!
Kwenye takwimu hizi hapa wamekosekana wanaotumia cables ambao hata 800k hawafiki.ChoiceVariable leta idadi ya visimbuzi vyote vinavyomilikiwa na watanzania mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2022.. weka kampuni zote za visimbuzi Tz
Tukufinze jambo
Huelewi hata maana ya statistics in terms of average ndio maana unashangaa..🤣🤣🤣 Wewe ni mlevi ... watu 4 .2 🤣🤣
Katoka kwenye visimbuzi kaingia kwenye maziwa sasa 😆😆😆😆 na hana taarifa kua tanzania kuna kampuni nyingi za maziwa kuliko kenya hilo halijui na ajiulize kuna kampuni gani ya maziwa kenya inuza maziwa tanzania akutajie moja tuChoiceVariable leta idadi ya visimbuzi vyote vinavyomilikiwa na watanzania mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2022.. weka kampuni zote za visimbuzi Tz
Tukufinze jambo
Ukiacha mbali cable amabyo anadai hazizidi kaya laki 8 siku hzi watu wengi wanatumia apple tv na aina zingine kama hzo kuna visimbuzi vya canal vya ufaransa watu wengi sana wanatumia kwa ajili ya soka la uingireza na ulaya kwa ujumla hilo yeye halijui 😆😆😆😆 ndio maanaa unaambiwa siku zote ukiwa hujui jambo uliza kwanzaChoiceVariable leta idadi ya visimbuzi vyote vinavyomilikiwa na watanzania mpaka kufikia mwisho wa mwaka 2022.. weka kampuni zote za visimbuzi Tz
Tukufinze jambo
Umeviona kwenye list ya TCRA? Manake Watumiaji ni wachache sana..Ukiacha mbali cable amabyo anadai hazizidi kaya laki 8 siku hzi watu wengi wanatumia apple tv na aina zingine kama hzo kuna visimbuzi vya canal vya ufaransa watu wengi sana wanatumia kwa ajili ya soka la uingireza na ulaya kwa ujumla hilo yeye halijui 😆😆😆😆 ndio maanaa unaambiwa siku zote ukiwa hujui jambo uliza kwanza