Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Hapa ni SGR, inapita hapo alafu inaingilia chini ya daraja la Mkuki Mall pale then inatokea daraja la Puma pale mpaka bandari, line ya MGR washamalizana nayo.
Hapa sina Uhakika ila kama niliwahi sikua Nyuma kwamba reli itapita chini na magari Juu so sijajua ni SGR kwenda Bandarini au MGR. tutaconfirm
