The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hivi nyie hamuonagi aibu kujilinganisha na Tz kwenye vitu kama utalii?Hizi hapa ni nchi kumi bila hata kuhesabu the tourism Giants of North Africa. Wewe leta University kumi amabazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee.
Just because wewe ni mfanyakazi wa hoteli au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitembea nchi nyingi za Afrika unapata managers wa hoteli Kubwa ni Wakenya.
Mbwa wewe unatuonesha render? Kwn nani asiyejua kwamba hamfuatagi render.We mzee tulia, this will be a center of excellence in Africa.
Ukweli upi kaongea apo.We nawe hupendi kuelezwa ukweli uko kama jiwe .
Bure kabisa wewe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kila alichoandika hapo ni ukweli mtupu,wewe umemshambulia tu bila hata ya kufikiria vizuriUkweli upi kaongea apo.
Mkuu, duniani huwezi kufanya Kila kitu kwa wakati mmoja, nchi lazima iwe na vipaumbele vyake, hakuna nchi hata Moja duniani ambayo ipo mbele katika Kila kitu.Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.
Usitafute sababu ya kujificha kwenye udhaifu uliopoMkuu, duniani huwezi kufanya Kila kitu kwa wakati mmoja, nchi lazima iwe na vipaumbele vyake, hakuna nchi hata Moja duniani ambayo ipo mbele katika Kila kitu.
Tanzania na Africa kwa ujumla lazima tuanze na mambo "simple" ambayo hayahitaji Sana "HITECH", Ili kuwashirikisha watu wengi ambao Wana elimu ya kawawaida Sana.
Mkuu, bado nchi zetu hizi zinasumbuliwa na matatizo ya msingi kabisa, chakula, maradhi, upatikanaji wa maji safi, huduma za afya Bora, miundombinu ya usafirishaji, kilimo duni Cha kutegemea mvua, upungufu wa umeme wa kutosha, na ajira kwa vijana.
Anayofanya huyo Kijana wa Fernandez, sio kwamba sio muhimu, ila kwa Sasa hivi sio kipaumbele kwa Sasa, Wacha sector binafsi waingie kwa nguvu huko, serikali yetu sidhani Kama unapaswa kuilakamikia kwa Sasa.
Ngoja nikuulize swali, kwa kitendo Cha HQ ya NALA kuwa Kenya, Tanzania tumepungukiwa na lipi, hasa katika kutatua hayo niliyokutajia?
South African Breweries wenyewe walifanyiwa mbaya sana na thika plant yao mpaka ikabidi TBL ndio iingilie kati na kuwa rescue kutoka Kenya.Mkuu ninadhani bado hujawajua wakenya vizuri, waulize waganda watakuambia kuhusu wakenya katika biashara.
Jana ulimsikiliza vizuri Rostam Aziz alichokisema katika hotuba yake mbele ya Rutto?.
Msikilize Dangote kwanini alishindwa kuwekeza Kenya, Hivi kwanini Mo na Bakhresa hadi Leo wameshindwa kufungua viwanda Kenya lakini wameweza kufungua viwanda vikibwa South Africa na nchi zingine za Afrika hadi Ghana?.
Mkuu jipe muda uwajue wakenya kwa undani, usisikilize maneno Yao ya kujifanya wao wanata biashara huru. Fuatilia sakata la sukari, mayai na maziwa toka Uganda kwenda Kenya.
Economic diplomacy iko kazini
Haas nawajua vizuri huku Tz ni wadogo sana. Ila ni watu poa sana nafanya nao biashara fulani.
1st company ya mama mboga as you claimed
Wengine Hawa hapa 👇We are controlling your gas economy.
Tuna kazi ya kufanya japo Kuna watu watabisha..Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.
Hii tabia ya kujifanya hakuna matatizo wakati yapo ni Ujuha..Usitafute sababu ya kujificha kwenye udhaifu uliopo
Kijana kaeleza bayana kwamba ni vitu gani tukoviboresha tutakua vizuri ...hapa sio kukimbia tatizo ni kulikabili.kama tunaweza kujenga miundombinu ya msingi kama barabara na vituo vya kutolea huduma za afya na elimu Basi tujue pia kuna mambo kama hayo ambayo ni ya muhimu pia.
Tujipange hakuna kinachoshindikana lakini tusianze kutafuta sababu nyepesi za kutooona umuhimu kwasabu tumeshindwa kutimiza wajibu wetu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa tuko driven na ulimwengu wa Teknolojia lazima tutaendelea kufanya kazi za catch up maana hayo mambo yanategemea Elimu Bora ndio ilete innovation..Mkuu, duniani huwezi kufanya Kila kitu kwa wakati mmoja, nchi lazima iwe na vipaumbele vyake, hakuna nchi hata Moja duniani ambayo ipo mbele katika Kila kitu.
Tanzania na Africa kwa ujumla lazima tuanze na mambo "simple" ambayo hayahitaji Sana "HITECH", Ili kuwashirikisha watu wengi ambao Wana elimu ya kawawaida Sana.
Mkuu, bado nchi zetu hizi zinasumbuliwa na matatizo ya msingi kabisa, chakula, maradhi, upatikanaji wa maji safi, huduma za afya Bora, miundombinu ya usafirishaji, kilimo duni Cha kutegemea mvua, upungufu wa umeme wa kutosha, na ajira kwa vijana.
Anayofanya huyo Kijana wa Fernandez, sio kwamba sio muhimu, ila kwa Sasa hivi sio kipaumbele kwa Sasa, Wacha sector binafsi waingie kwa nguvu huko, serikali yetu sidhani Kama unapaswa kuilakamikia kwa Sasa.
Ngoja nikuulize swali, kwa kitendo Cha HQ ya NALA kuwa Kenya, Tanzania tumepungukiwa na lipi, hasa katika kutatua hayo niliyokutajia?
Huna msimamo bwege wewe, kila kitu kinachoponda Tz na wewe umo. Pita kule usiwe unani quote.Kila alichoandika hapo ni ukweli mtupu,wewe umemshambulia tu bila hata ya kufikiria vizuri
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We jamaa ni kenyan supporter .. u ar always against Tz kila takataka discrediting Tz we unakubaliananayo hata kama huna details na hiyo takataka, u ar either an ignorant or stupid..We nawe hupendi kuelezwa ukweli uko kama jiwe .
Bure kabisa wewe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app