Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe unaamini statistics za gazeti la kenya lakini IMF wakisema Kenya ni tajiri kuliko Tanzania unasema ni makaratasi. You must be retarded.
View attachment 2526528
Lakini sisi hatufi kwa njaa. Wakundustan milioni 6 ni sawa na 11% ya Wakundustan wote.
Screenshot_20230217-132735~2.jpg
 
Kama leo hii ilikua ni almost mtu double lakini miaka minne mbele hali itakua ivyo What gives you hopes?nakuonea huruma kiasi..labda SSH aondoke hatujui uko mbele hali itakuaje ila kwa sasa anakimbiza mwenge kinoma View attachment 2526692View attachment 2526693

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
GDP per capita bado itakua double yenu na uchumi wetu bado utakua mkubwa by $35b+. Na hizi ni predictions tu which may never come to pass. What makes you think Kenya wont change leadership?
1677089269995.jpeg

1677089242745.jpeg
 
Wakenya wanajaribu kutuongopea kuwa Kampala is more modern than Dar es salaam.

Kumbe Kampala yenyewe ndio hii hapa

Kuna mwaka fulani (2014 or so) vijana wa kiganda walikuwa wanasafiri kutoka Kampala Uganda kwenda Dar es Salaam kupitia Jiji la Mwanza. Walipifika Mwanza wakadhani wamefika Dar maana kwa maelezo yao waliona Jiji la Mwanza ni well developed kuliko Kampala, wakaambiwa bado hawajagika dar wakabaki midomo wazi. Sijui walipofika Dar walishangaa kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom