7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Hivi huu ni mto gani mkuu? Yaani Tanzania kwa mito mikubwa kwa kweli tumebarikiwa sana [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hivi huu ni mto gani mkuu? Yaani Tanzania kwa mito mikubwa kwa kweli tumebarikiwa sana [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukishaona Nairobi imetajwa katika miji yenye usalama ujue hiyo ripoti ni "fake". Nairobi itashindaje miji ya Ghana, Zambia, Malawi, na Siarelion?
Ni kweli huwa wanaishangaa sana Mwanza.Kuna mwaka fulani (2014 or so) vijana wa kiganda walikuwa wanasafiri kutoka Kampala Uganda kwenda Dar es Salaam kupitia Jiji la Mwanza. Walipifika Mwanza wakadhani wamefika Dar maana kwa maelezo yao waliona Jiji la Mwanza ni well developed kuliko Kampala, wakaambiwa bado hawajagika dar wakabaki midomo wazi. Sijui walipofika Dar walishangaa kwa kiasi gani.
Jina la mto simfahamu ila najua Hilo eneo ni korofi ndio maeneo ambayo hata reli ilikuwa inasombwa sana huko mpakani mwa Morogoro na Dodoma..Hivi huu ni mto gani mkuu? Yaani Tanzania kwa mito mikubwa kwa kweli tumebarikiwa sana [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mbishi sana wewe.Prove then 🤣🤣🤣🤣 maneno yanasaidia nn??
Acha wivu na blaa blaa,leta town ya Kunyaland to rival MorogoroWeeh,uswazi reloaded,,a very ugly town
Au ni ule mto mkondoa? Maana ulikuwa ukisomba sana madaraja ya reli. Yaani hii nchi ni kubwa bado kuna daraja lingine linajengwa Ruvuma kwa bilioni 5,na ni mto tusioujua,tukisema tuhesabu mito mikubwa na midogo hatumalizi leo.Jina la mto simfahamu ila najua Hilo eneo ni korofi ndio maeneo ambayo hata reli ilikuwa inasombwa sana huko mpakani mwa Morogoro na Dodoma..
Tanzania Ina mito Mingi mno boss,yaani Bado kazi kubwa.
Mkoa wa Rukwa Tarura wanajenga Barajah la Bil.5 kwenye mto Kalambo ni zaidi ya mita 50.
Sorry ni Rukwa na siyo Ruvuma.Au ni ule mto mkondoa? Maana ulikuwa ukisomba sana madaraja ya reli. Yaani hii nchi ni kubwa bado kuna daraja lingine linajengwa Ruvuma kwa bilioni 5,na ni mto tusioujua,tukisema tuhesabu mito mikubwa na midogo hatumalizi leo.
Hawa Wakenya ni mbwa wallahi hatupaswi hata kuwa karibu nao watatuambukiza ummbwa.What a shithole country, shithole society, shithole morals [emoji15][emoji46][emoji47][emoji32][emoji27][emoji26][emoji22][emoji33][emoji37][emoji21][emoji20]
How on earth?
Aisee hii nchi imelaaniwa wakuu
Miradi mingi ya kimkakati itakuwa imekamilika kwa kiasi kikubwa sgr, jnhpp, eacop na irrigation dams unajua hii miradi itaongeza tija kwenye uchumi kwa kiasi gani? At least we Tanzanians have something to hope for in the next 5 years what about you Kenyans?GDP per capita bado itakua double yenu na uchumi wetu bado utakua mkubwa by $35b+. Na hizi ni predictions tu which may never come to pass. What makes you think Kenya wont change leadership?
View attachment 2526815
View attachment 2526814
What a shithole country, shithole society, shithole morals [emoji15][emoji46][emoji47][emoji32][emoji27][emoji26][emoji22][emoji33][emoji37][emoji21][emoji20]
How on earth?
Aisee hii nchi imelaaniwa wakuu
You must be dumb if you think Tz is the only country with future uncompleted major infrastructure projects. I can't start to name Kenya's projects here, they're too manyMiradi mingi ya kimkakati itakuwa imekamilika kwa kiasi kikubwa sgr, jnhpp, eacop na irrigation dams unajua hii miradi itaongeza tija kwenye uchumi kwa kiasi gani? At least we Tanzanians have something to hope for in the next 5 years what about you Kenyans?
Name them.You must be dumb of you think Tz is the only country with future uncompleted major infrastructure projects. I can't start to name Kenya's projects here, they're too many