Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongo wa wakenya umeanza kushitukiwa na Dunia, someni comments

Most important wanaokataa huu uongo wengi ni hao hao Wakenya, tungesema sisi wangesema ni wivu. Hawa jamaa wamevamia vipage kadhaa huko social media na vi ‘facts’ vya uongo kuficha aibu zao. Ila ndio hivyo kila kitu kiko wazi kama vazi la kahaba.
 
Tanzania est Gdp 2023 $84B Vs Kenya $117B
Mwaka huu uchumi wenu unakua kwa speed ndogo sana shida ni Ruto ama?
IMF

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ruto na Gachagua ni shida.. Sijui tutafute sniper waekwe chini ama tutafute mwenye aliwasaidia pande ya magufuli... Kenya kwanza government is the dumbest government we have had in Kenya since independence. Chosen solely because of emotional voters not track record.
 
Imagine with all our lack of food bado tunawatoa Tanzania gdp Mara mbili nyie maskini bana
GDP ambayo haiwezi wasaidia kuondokana na njaa na kupunguza umaskini 🤣🤣

Yani mpaka leo wanasiasa wenu wameshika akilo zenu kwenye GDP ambayo matajiri wa nne wameshika utajiri wa nusu ya wakenya 😆😆😆
 
Naomba kuwakumbusha hoja zao kuu
Screenshot_20230128-192237_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom