Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Most expensive square mile in East and Central Africa
FpQeGBYXsAIhiDZ

FpLdtG6WcAEzNj3
 
GDP per capita bado itakua double yenu na uchumi wetu bado utakua mkubwa by $35b+. Na hizi ni predictions tu which may never come to pass. What makes you think Kenya wont change leadership?
View attachment 2526815
View attachment 2526814
Kama unadhani hizo prediction ndio zitatokea kweli, kama ulivyoonesha hapo then bado haujaijua Tanzania vizuri
Wakati sisi tuko na real economy ambao effect yake inaonekana on ground na mega projects tulizoanzisha, nyinyi mko na fake economy tena on paper with almost zero effect on ground ndio maana wananchi wenu wanakufa kwa njaa.
Kama unadhani Kundustan ni tajiri kuliko Tanzania unajidanganya. Huwezi ku-compare uchumi ulioshikiliwa na Waafrika wenyewe vs uchumi ulioshikiliwa na mabeberu
 
Uchumi wa tanzania umeshikiliwa na waarabu+wakenya. Ndio maana akina KCB, NCBA, EQUITY wako kila mahali tanzania lakini wakenya hawajui ata benki moja ya tanzania ambayo inapiha shughli huku. Wanainchi watanzania wanaomba omba kenya kwa barabara lakini huwezi kupata mkenya tanzania akiomba omba heri afe njaa huku Kenya.
When you control the money, you control everything else.
 
Kenya ni tajiri kuliko Tanzania. Tz Hamna njaa, ardhi mnayo kubwa, madini yako.... shida ni gani mnakua maskini ivi hadi kuja kuomba omba Kenya kwa barabara?
2026 lazima tuwakalishe japo utajiri wa GDP ya makaratasi umeshindwa kuwaondolea njaa 😜😜

Mnapigwa mchana kweupe 🤣🤣
Screenshot_20230223-075505.jpg
 
Back
Top Bottom