Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

who said the goverment aint doing so?? do you think feeding 6m people plus there cattle is a walk inthe park? concidering our sourc of goverment revenue is heavily dependant on tax since we dont have minerals and such
Kazi ya serikali sio kulisha watu bali ni kujenga miundombinu wezeshi kuwarahisishia wananchi kuzalisha chakula. Tulisikia hapa hadithi za sijui Galana kalalu sijui mabwawa mwisho wa siku serikali imesema haina hela ya kujenga huo mradi despite GDP kuwa kubwa.

Swali ukubwa wa GDP unasaidia nini kwa mwananchi mmoja mmoja?
 
Tanzania can never overtake Kenya GDP even in the next 50 years. Again Kenya's economy at this point is not pegged on politics. We have a good constitution and independent institutions. Anybody can lead and Kenya's economy will still be the largest in East Africa. Sio kama Tanzania hamjui maendeleo bila CCM tangu 1961
Wacha kupaparika kama kuku aliyechinjwa.
 
Kenya lazima muwenajipanga, muache visingizio, ngoja nikupe huu mfano hai. Arusha na Nairobi zipo umbali usiozidi 250km. Lakini Arusha is very safe, while Nairobi crime rate is very high, don't you ask yourself why?, It doesn't come natural to be safe, you need planning and investing in security, you need leaders with vision.
Crime is bolstered by inequitable distribution of national wealth. This creates a group of dissatisfied individuals who feel aggrieved by missing out on the national cake hence resorting to crime as a means of grabbing what was rightfully theirs from the beginning.

This situation is synonymous with Kenya.
 
Wakenya wanajaribu kutuongopea kuwa Kampala is more modern than Dar es salaam.

Kumbe Kampala yenyewe ndio hii hapa

 
Is there any Kunyaland City to match with Morogoro Municipal Outside Nairobi and Mombasa?

Morogoro is not a City mind that but is 🔥🔥🔥
morogoro_ndio_home_1677051950463554.jpg
morogoro_ndio_home_1677051843513486.jpg
morogoro_ndio_home_1677052066245492.jpg
morogoro_ndio_home_1677052109876945.jpg
morogoro_ndio_home_1677052324570367.jpg
 
Eti 50 years, unaota wewe[emoji28][emoji28] sasahivi tu kwa ground tupo vizuri kuliko Kundustan. Mnatuzidi tu kwenye hiyo fake economy yenu tena on paper.
You don't deserve the throne in East Africa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2526309
wewe unaamini statistics za gazeti la kenya lakini IMF wakisema Kenya ni tajiri kuliko Tanzania unasema ni makaratasi. You must be retarded.
1677077931806.png
 
Ondoa neno never

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Never my friend. Nyinyi Tanzania hadi mbadilishe katiba na muondoe CCM ndio tutajua if your economy can withstand political turmoil and power changing hands, again Kenyas gdp per capita ni 2 times that of tanzania coz Kenya has a lower population than Tz and a higher Gdp
 
Never my friend. Nyinyi Tanzania hadi mbadilishe katiba na muondoe CCM ndio tutajua if your economy can withstand political turmoil and power changing hands, again Kenyas gdp per capita ni 2 times that of tanzania coz Kenya has a lower population than Tz and a higher Gdp
Katiba mpya?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Imesaidiaje katika kutatua shida za wakenya?
1)Ukabila.
2)Rushwa
3)Njaa
4)Crime
5)Wizi wa kura
6)Ukosefu wa ajira
7)Kupanda kwa gharama za maisha
8)......
 
Very simple explanation without raising the pertinent matters that help those countries to endure. All countries you have mentioned have a wealth of reserves of fossil fuel and Diamonds for Botswana's case.

They earned billions from fossil fuel sales which enables them to buy food and various commodities and daily necessities. Likewise Botswana with its Diamond.

Desert countries without an alternative to the sale for buying food are in a very horrible state.

Daily, life is like you have a train for transportation and the fellow has enough aircraft to serve all for transportation.
But Kenya you have money "Bigg GDP", why can't you use your Bigg GDP to build irrigation schemes like Egypt?. What do you mean by big Economy?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya kuendekeza kufa kwa njaa

Tanzania nchi ya maziwa na asali, hatumo katika kundi la nchi za EA. Tanzania is more in the Southern Africa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Never my friend. Nyinyi Tanzania hadi mbadilishe katiba na muondoe CCM ndio tutajua if your economy can withstand political turmoil and power changing hands, again Kenyas gdp per capita ni 2 times that of tanzania coz Kenya has a lower population than Tz and a higher Gdp
Kama leo hii ilikua ni almost mtu double lakini miaka minne mbele hali itakua ivyo What gives you hopes?nakuonea huruma kiasi..labda SSH aondoke hatujui uko mbele hali itakuaje ila kwa sasa anakimbiza mwenge kinoma
Screenshot_20230222_200521_Chrome.jpg
Screenshot_20230222_200538_Chrome.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom