Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20230220-202619_LinkedIn.jpg
 
Wacha kutuletea habari za zamani, tunazingumzia hali ya maisha ya hivi Sasa, sio 2018
2018 is just 4 years ago bongolala. By saying kitambo I thought you would mention 1970.

I hope that 2022 pia ni kitambo
 
Hatuishi kwenye different world ila kwa level ya maisha bora tunazizidi nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya and other shit holes alike.
Give me any data showing Tanzanians are living a better life than Kenyans. Isiwe ni maneno ya vijiweni ya kujiliwaza mkinywa konyagi
 
2018 is just 4 years ago bongolala. By saying kitambo I thought you would mention 1970.

I hope that 2022 pia ni kitambo
2018 Tz ilikuwa haijaingia uchumi wa kati wacha ujinga, na hata hivyo Tz haijawahi kuwa hovyo kama Kenya.
 
2018 is just 4 years ago bongolala. By saying kitambo I thought you would mention 1970.

I hope that 2022 pia ni kitambo
Hahaha, umasikini na utajiri ni vitu vya muda mfupi Sana, ona jinsi ulivyo mjinga, 2018 hata COVID-19 ilikua haijaingia, Uchumi wa Kenya ulikua bado haujahekemewa na madeni, kidogo mlikua mnajiweza, kuanzia 2020 ndipo Kenya ilipoanza kupigwa na kitu kizito kichwani

Weka data isiyozidi mwaka mmoja nyuma, haya mambo hayataki hasira, ukweli ni kwamba hivi Sasa Kenya mko na hali mbaya kimaisha.
 
So you didn't even open the link uone taarifa ni ya 2022 and you are here writing ten pages and saying nothing. Bongolala, hii taarifa ni ya 2022
 
Raia wa Kenya wanaongoza kukimbia nchi yao na kwenda uarabuni na Tz kufanya kazi za ndani kuliko raia wa Tz, that alone should tell you something.
I asked you to do a very simple thing: to give me any data showing that Tanzanians are living a better life than Kenyans. Hizi vijimaneno peleka Tandale uswazini ukajiliwaze nazo
 
Back
Top Bottom