President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,002
- 93,350
Kwa sasa Kenya tunaitawala kwa kila kitu. Hata kwenye Injili kimbilio la wakenya ni Tanzania
Kwa sasa Kenya tunaitawala kwa kila kitu. Hata kwenye Injili kimbilio la wakenya ni Tanzania
Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Tayari kwa asilimia zinazozidi 20 wakenya wameanza kuiga utamaduni wa Tanzania. Hii haina upinzani lazima tuwatawale.Kiuchumi na kiutamaduni right? [emoji23]
zitakuja nadhani na ujenzi wa BRT!Geza, kuna zile zinatakiwa kujengwa: Magomeni, Fire, Mwenge, Tabata, Na kwingine nimesahau.
Kwa sasa Kenya tunaitawala kwa kila kitu. Hata kwenye Injili kimbilio la wakenya ni Tanzania