Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao wakulungwa wako wengi huku Tz kwenye sector ya hotels and tourism.

Wacha serikali ya Kenya iwasomeshe waje watufanyie kazi na kuimarisha tourism sector yetu wakati yao imedoda.

Bila kusahau Tz leads in remittances to Kenya.
 
Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?[emoji1787][emoji1787]
Any good innovation must be supported msee, if it helps we support it whether sudanese or tanzanian, i have a very unique product in dar and tanzanians support me very much, just business nothing personal
 
Hata wao pia wanajua kwamba sio jambo zuri, lakini Psychology ya wakenya ni kujaribu kushawishi nchi zingine wawaige Ili Kama ni kuharibikiwa wasiwe peke Yao kwasababu 90% huwa hawafanikiwi[,emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Any good innovation must be supported msee, if it helps we support it whether sudanese or tanzanian, i have a very unique product in dar and tanzanians support me very much, just business nothing personal
Unfortunately majority of Kenyans think otherwise. Tanzanian music was good before Kenyans' support, ironically Kenyans changed it on their favor, that Bongo flavor got International recognition because of support from Kenyans, this is rediculous.
 
Hapana. Hii ni challenge. Tunashindwa nini kuwa na kiwanda cha battery tukauza Kenya,Uganda,Rwanda,Kongo? Hizo battery ni Chloride Exide na Spark.
Hiyo ni opportunity mkuu, ichangamkie, uwekezaji huanzia hivihivi.
 
Hawawezi kutuzidi kila kitu na sisi hatuwezi kuwazidi kila kitu ila kama kunakitu wametuzidi weka evidence kuokoa muda.

Mfano nilikuwa nasubiria evidence kuwa Uganda wako mbele ya Tanzania kwa ICT ila bado sijaona any credible evidence.
Unasubiri evidence wakati unagoogle tu unaona,mnapenda tu hadithi nyingi wakati unauwezo wa ku prove otherwise mwenyewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hapana. Hii ni challenge. Tunashindwa nini kuwa na kiwanda cha battery tukauza Kenya,Uganda,Rwanda,Kongo? Hizo battery ni Chloride Exide na Spark.
Haya mambo yanahitaji watu na mazingira mazuri ya kibiashara, tulikua tunasuasua sana labda kama sasa tumechange ndio utaona ni mambo yanayowezekana tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
You can't build Bigg projects like "The biggest Hospital" from Remittances, that is not Remittances, that is most likely a loan from Banks and other sources, that falls under FDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…