KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Hii wivu yake men ni mpya bana[emoji1787][emoji1787] so kwa akili zako timamu our biggest remittance na professionals wako saudia according to you?Ukiwaza kwa kushirikisha akili utajua wakenya wengi waliopo nje ya nchi ni housemaids gulf na sio professionals ila sababu hufikiri kwa kina unaendeshwa tu kimihemko huwezi kuelewa