Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni aibu, haiwezekani nchi production ya ndani inadoda sababu human capital yake cream yote iko nje inapambana kukuza nchi za watu, mtu anayejisifia huu upuuzi au uchumi wa kichuuzi namna hii namshangaa sana. Let’s Afrika fight this braindrain insteat of embrace it.
Hao wakulungwa wako wengi huku Tz kwenye sector ya hotels and tourism.

Wacha serikali ya Kenya iwasomeshe waje watufanyie kazi na kuimarisha tourism sector yetu wakati yao imedoda.

Bila kusahau Tz leads in remittances to Kenya.
 
Sasa kuwa customer wa kampuni la mtanzania ni ufahari?
Any good innovation must be supported msee, if it helps we support it whether sudanese or tanzanian, i have a very unique product in dar and tanzanians support me very much, just business nothing personal
 
Bro, one of big the reason watu hutoka makwao kwenda nchi zingine ni kutafuta maisha mazuri tofauti na ya kwao, sasa Wabongo bado hawajaona kwamba wanatakiwa kutoka bongo kwa kasi ya majirani zetu kwenda nchi zingine, wengi bado tunaamini we can find a green pasture hapa na sio kwamba hatuwezi kwenda huko kwingine kutafuta kazi hata za kuosha vyombo.

Mimi huwa nadhani ni indication mbaya nchi ‘kukimbiwa’ na raia wake kwenda kutafuta maisha kwingine, sikujua kumbe wenzetu mnaona ni jambo la
Kifahari, ni suala la kushindana. Nilishangaa sana Ruto anawaahidi Wakenya kuwajaza Korea, kiufupi ni kama alikuwa anawaambia nchi yenu imeshindwa kuwatengenezea fursa za ajira, ngoja nijaribu kuwaomba hawa jamaa hapa kama watatusaidia kwa chochote. Ni aibu sana kufanya hivi kama kiongozi wa juu kabisa wa nchi. Basi tu.
Hata wao pia wanajua kwamba sio jambo zuri, lakini Psychology ya wakenya ni kujaribu kushawishi nchi zingine wawaige Ili Kama ni kuharibikiwa wasiwe peke Yao kwasababu 90% huwa hawafanikiwi[,emoji1787]
 
Any good innovation must be supported msee, if it helps we support it whether sudanese or tanzanian, i have a very unique product in dar and tanzanians support me very much, just business nothing personal
Unfortunately majority of Kenyans think otherwise. Tanzanian music was good before Kenyans' support, ironically Kenyans changed it on their favor, that Bongo flavor got International recognition because of support from Kenyans, this is rediculous.
 
To prove myself what?
Bring us your evidence to dispute this
Screenshot_20230213-234049.jpg
Screenshot_20230213-234241.jpg
 
Hawawezi kutuzidi kila kitu na sisi hatuwezi kuwazidi kila kitu ila kama kunakitu wametuzidi weka evidence kuokoa muda.

Mfano nilikuwa nasubiria evidence kuwa Uganda wako mbele ya Tanzania kwa ICT ila bado sijaona any credible evidence.
Unasubiri evidence wakati unagoogle tu unaona,mnapenda tu hadithi nyingi wakati unauwezo wa ku prove otherwise mwenyewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hapana. Hii ni challenge. Tunashindwa nini kuwa na kiwanda cha battery tukauza Kenya,Uganda,Rwanda,Kongo? Hizo battery ni Chloride Exide na Spark.
Haya mambo yanahitaji watu na mazingira mazuri ya kibiashara, tulikua tunasuasua sana labda kama sasa tumechange ndio utaona ni mambo yanayowezekana tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Do you know how many companies exist in Kenya through foreign remmitances? Do you know that most kenyans who work abroad come back home after building companies and eliviating their families out of poverty? How many real estates, infrastructures, hotels...damn the biggest hospital in kenya under construction is by a kenyan living abroad.. i could go on, if that ain't "building economy" I don't know what is..
You can't build Bigg projects like "The biggest Hospital" from Remittances, that is not Remittances, that is most likely a loan from Banks and other sources, that falls under FDI.
 
Back
Top Bottom