Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa ndio kipimo cha kwanza cha umaskini duniani budaa huwez kua na nchi munayojinadi kwa GDP na watu wanakufa njaa kila mwaka haiwezekani 🀣🀣🀣🀣
 
Ruto anatoa nn kwenda kusaidia watu wanaokufa na njaa au anasubiri misaada kutoka kwenye nchi zenye jangwa na vita 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sikiliza bongolala, the balance of trade between Kenya and Tanzania has always been in favour of Kenya. This is why when Magufuli roho chafu took over, he imposed so many trade barriers which affected Kenyan traders and goods entering your country. Hiyo roho chafu ilimfikisha hadi kuchoma vifaranga vya Kenya.

Look at these figures below. In 2020 for instance, the total value of Tanzania's exports to Kenya was valued at $243m while Kenya exported goods worth $295m the same year. During the same period, your leading export to Kenya was rice (unfinished product) while Kenya's leading export to Tanzania was soap (a finished product)

That is enough to remind you that we export more to your country than we import. Secondly, just like I said before, most of your exports to Kenya are raw materials while sisi tunawauzia mostly finished products
 
Hata kama wameita bullet je ushaziona picha kichwa kinachovuta au ww umeona mabehewa tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Wewe unadhani bullet train ni kichwa tu! πŸ˜‚πŸ˜‚
Bullet train is a whole package bongolala. Kichwa cha bullet train hakiwezitumika kwenye hizi mabehewa yenu
 
Wewe unadhani bullet train ni kichwa tu! πŸ˜‚πŸ˜‚
Bullet train is a whole package bongolala. Kichwa cha bullet train hakiwezitumika kwenye hizi mabehewa yenu
Sasa ushaambiwa kuna 8 set za EMU zinakuja kutoka germany ambazo zina behewa 10 kila moja bado unataka uambiwe nn 🀣🀣🀣🀣 yani unaumia kwann sasa

Umeambiwa na nani kama kichwa cha bullet haziwez kutumika nani kakupa hzo taarifa mama ngina au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…